PSG mtimueni Unai Emery haraka sana

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
79,039
2,000
Haiwezekani timu kali kama hiyo inafungwa na vile vizee vya Bayern Munich , how comes ?

Huyu kocha hana uwezo wa kufundisha timu kubwa wala hajui kwanini yuko PSG .
 

FineForever

JF-Expert Member
Apr 12, 2017
1,627
2,000
Haiwezekani timu kali kama hiyo inafungwa na vile vizee vya Bayern Munich , how comes ?

Huyu kocha hana uwezo wa kufundisha timu kubwa wala hajui kwanini yuko PSG .
Bayern wako vizuri sana Mkuu, yaani ni moja ya timu ambazo ukiifunga huwezi kujisifu sana kwamba hawa hamna kitu. Bayern Jana kushinda ilikuwa lazima kwa gharama yoyote. Kifupi Jana walikuwa wanajibu hiyo...
 

FineForever

JF-Expert Member
Apr 12, 2017
1,627
2,000
yani psg walivyobahatisha kufunga buyern kipindi kile ukafikiri wakienda ujerumani watatoka salama, Buyern moto mwingine aisee
Nakubaliana na wewe Mkuu. Kuna madogo wawili Bayern huwa na wakubali saana, David Alaba na Kingsley Coman. Kwa Mpira wa Jihadi na Mchakamchaka hawa madogo ndiyo wenyewe yaani.
 

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
5,952
2,000
Sasa kwa akili yako ni coach gani ataweza kufit pale psg? Unai Emery ni kocha mzuri na mwenye uzoefu. Ana europa league 3 na Sevilla bado unamwona hafai.

Afu kitu kingine ile ilikuwa ni game ya kukamilisha ratiba tu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom