cha msingi ni kuwa Arsenal anapita, nilifurahi sana game ya jana Barca anatolewa, maana walikuwa na kamdomo sana. Kwamba kina Dimarco na Acerbi wazee wanalambishwa nyasi na Yamal.
Msimu huu umekuwa poa sana. Japo City hatumo Final.
Madrid OUT
Bayern OUT
Liver OUT, No treble
Barca OUT, No treble