Laki nane. Laki nne hata PS3 160GB hupati labda za kichinaMe nakupa laki nne na nusu. Bt ipige picha tuione first kobelo
Laki nane. Laki nne hata PS3 160GB hupati labda za kichina
Ps3 slim inauzwa 390,000tsh
tatizo lake ni disc tray tuu....ku remove cd vizuri, ndo maana naiuza...apart from that kila kitu kiko freshi, padi na wires zake zipo, na cd kibao zipo....any problem nyambie..cheers.
Kama unaweza pata kitu na box, kwanini uchukue mchina? .. ila wanafaa kimtaamtaa.Wazee wa mafeki (China) mwawasifia lakini bidhaa zao mwaziogopa🙂