Ps3 Downgrading

Ps3 Downgrading

the great wizard

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2015
Posts
1,482
Reaction score
894
Je kuna uwezekano wa ku-downgrade ps3 super slim
model CECH 4XXXC OFW 4.81 Kwenda OFW 4.70?
 
Inawezekana ukitumia E3 flashing tool, lazima uwe na hicho kifaa ili uweze kudowngrade.Ila kikawaida huwezi.Kuna jamaa hapa DSM anacho, huwa anadowgrade kwa kutumia hicho kifaa
 
Inawezekana ukitumia E3 flashing tool, lazima uwe na hicho kifaa ili uweze kudowngrade.Ila kikawaida huwezi.Kuna jamaa hapa DSM anacho, huwa anadowgrade kwa kutumia hicho kifaa
Labda hizo ni zile fat na slim mimi nilitakata kujua kama itawezekana kudowngrade ps3 super slim
 
Labda hizo ni zile fat na slim mimi nilitakata kujua kama itawezekana kudowngrade ps3 super slim
Inawezekana kabisas kudowngrade ps3 superslim, nna uhakika na hilo;watu wanasema haiwezekani kwasababu hawana hicho kifaa cha E3 kinachotumika kufanya kazi hiyo. mcheck huyu jamaa 0659490346
 
Back
Top Bottom