Ps: Usalama wa Taifa Tanzania

Ni kweli kabisa..ila furaha huwa hailetwi na kuwa na fedha ,na kwa udukuzi wangu nchi nyingi sana watu hawa hupewa fedha nyingi kuwaondolea msongo wa mawazo..muda wote uko kazini.chochote akionacho na akisikiacho hufanyia kazi ili kuona madhara yake.
 

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Labda uwe mshauri wa mgambo wa wilaya
 

Unataka uwe Usalama wa Taifa Tanzania!!!?we mtegemee yesu tu anatosha.hao wasiojulikana na wanakotoka hakujulikani,unawatakia nini wasiojulikana!!!!?
 
Huwezi kuwa undercover maana watu wameweza kukuhisi kwa urahisi sana
 

Consult Professor Mruma Makinikia Almasi please.
 
Kazi hiyo hakuna anayeomba wana vigezo vyao wanakutafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…