Ps: Usalama wa Taifa Tanzania


Watu wowote wanaoonekana life style yao ni kama usalama wa Taifa kabla hawajawa, hawapaswi kuwa usalama wa Taifa, halafu sio kazi ya kutamani au kujipendekeza, endelea tu na shughuli nyingine za maisha.
 
Kila la kheri mkuu
 
Naamini hapa kuna wajuzi zaidi kwenye hii idara,hivi hawa jamaa wanaweza kukuchagua,wakakusanya taarifa zako zote (vetting) kisha wakakupotezea mazima au ni suala la muda tu.
 
Dah ushakosa
 
AMA KWELI...
kuwa mjasiriamali mkuu
 
Ukisikia nafasi za Jkt, au, polisi, au magereza, Au takukuru tuma maombi nenda pambana jenga nidhamu ya hali ya juu uzalendo wa kweli usijivunie elimu yako utafika unapotaka naamini watakuona huko hila kwa hapa jf wataona uzi wako tu
 
Aisee
Aisee wewe umemshaur vzr tofaut na wengne
 
Mpaka hapa ushafeli..

Na hata kama walikua wanakufwatilia basi wameacha kwa hii post yako..
 
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Mbona wapo.walevi kibao
 
Mkuu hongera sana kwa ujasiri uliokuwa nao...wakikucheki basi na mimi waje wanicheki ili tuitumikie idara
hiyo.

Cc. Dr. Modestus Kipilimba
Cc. Robert Msalik
 
we jamaa baada ya kuona washikaji wanakula kaunda suti na wewe umeshatamani tayar!
 
Ahaa, kama ndivyo wangewatambua wasiojulikana, labda kama ni Wadau.
 
Hawana raha duniani wale watu
Wanaishi maisha ya kuchunguzana wao kwa wao ili siri zisivuje

Familia zao pia zaishi kwa mashaka maana siri zikivujishwa na wewe haupo familia inaumizwa

Ni kazi ya kiboya sana tena hawa walio mitaani

Wale walio kule ofisini kwenye makompyuta na kule tcra, bandarini, uhamiaji, bot na mabenki mbali mbali ndio wanafaidi maana wao wanajua siri za watu
 
Unadhani ndio huwa wanachukua watu kupitia hapa JF..pole sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…