Wakutu
JF-Expert Member
- Jun 4, 2012
- 249
- 173
Hii inatrend nw na wanasayansi wanasema hii inaprove ile kitu inaitwa time travelling kuwa inaexist,hapo ni mwaka 95 ktk pambano la Tyson,mwaka huo smartphone hiyo technology ilikuwa haijaingia (tukumbuke smartphone zilianza mwaka 2000),lakini huyo mtazamaji hapo ameonekana na kamera akichukua pambano kwa kutumia smartphone yake na kupiga picha,ukiangalia video utaona mwanga wa flash ya simu ikuchukua picha huku akichukua video pia.Wanasayansi wanasema huyo mtu alicome from future kuja kucheki pambano la Mike,swali je *_Time travelling exists_*. *JULINHO*
Did a time-travelling boxing fan film a Mike Tyson bout on a SMARTPHONE five years before they were invented?