Proved: TBC1 haitarusha bunge live

Proved: TBC1 haitarusha bunge live

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2012
Posts
4,572
Reaction score
26,892
Ndio ukweli wenyewe toka ndani ya TBC kuwa simu imetoka magogoni na mjengozi

Kwanza kupunguza freequence za wenyemadishi kupata chanell

Pili kutorusha vipindi vya bunge hasa swala na gesi mpaka further notice
 
Wapo UCHI, wanadhani wakifunika nyuso zao hawata onekana UTUPU wao.
 
Setelite imehaaribika jamani, wamepiga simu kuwajulisha wenyewe, ikitulia mtajulishwa hahahahah Tanzania!
 
duuuu afadhali hii nchi tamu sana tuishi kama enzi za UJIMA!
 
Kule egypt walikata mawasiliano ya internet na kuzuia bbm...matokeo yake kila mutu anajuaga
 
haishangazi ndio maana tuanaenda kinyumenyuma na maendeleo inaendelea kuwa ndoto ya alinacha.
nijuavyo mimi ni kuwa ukiingia kweye biashara ya usafiri lengo ni kupata abiria
ukifungua mgahawa na kupika chakula unategemea kiuzwe na kuisha na yasibaki makombo
chombo cha habari kama magazeti nia ni ukichapisha yakenda mtaani kusiwepo na return
wenye blogs na websites nia yao ni zifikiwe na watu wengi kadri iwezekanavyo
Sasa inakuwaje TBC wameanzisha matangazo ya television alafu hawataki watu wayaangalie!??? Haya ni maajabu mengine ya Tanzania!!!
 
Kwa maendeleo ya teknolojia ya habari sasa hivi ni vigumu kucontrol flow of information. Inaweza ukachelewesha lakini sio kuzuia. This is another wrong decision from wrong people and wrong time.
 
Inawezekana maana jana Rais akiwa kwenye mkutano wa CCM Iringa alivunja katiba kwa kusema atawakata mapembe wananchi ambao wanadai haki katika kulinda raslimali za Taifa lao kwa mujibu wa katiba yetu.
Agekuwa ametamka maneno hayo mtu mwingine, muda huu angeitwa mchochezi na tayari MWEMA angetumwa haraka kumkamata.
Naungana na Wabunge Vita Kawawa na Zedi walisema kwenye mahojiano na ITV kuwa wananchi wapewe taarifa sahihi pia wajue umuhimu wa mradi mkubwa wa GESI.
Sasa Kikwete baada ya kusaini mikataba 19 na WACHINA analeta vitisho visivyo na maana kwa wananchi kuwa atawakata mapembe! Atashindwa kwa ajili ya maendeleo ya nchi, na kama amesaini mikataba hiyo usiku kwenye dhifa bila kuipeleka bungeni damu ya wananchi itakuwa mikononi mwake.
Pia matamshi ya Anne Killango bungeni nayo ni ya kutumwa ili kufunka ukweli, anasema baada ya kugunduliwa GESI na URANI basi mataifa ya nje yanajiingiza nchini kuleta vurugu. mama huyo naye aliongea kana kwamba anaigiza kumbe mnafiki.
 
Sio suluhisho kbs. Aende JK aongee nao, simple kbs. awethibitishie maslah yao yako mbele kuliko chochote kile.
 
Nimeamini tbccm haina maana kwa taifa hili hata kidogo, jana wamekata matangazo ya bunge mjengoni wakaanza kutuonesha mazalio ya mbu!!!!!!!!!!!!, upuuzi! mlishindwa kutuonesha mbu wa muhimbili wakati ule mnatuonesha mazalio ya mbu leo wakati Mtwara kunafuka moto? hamna maana!
 
Wananchi tunaweza kuiondoa hyo tbc kwa sababu ni chombo cha walipa kodi ya tanzania. Leo wao wanafuata kauli za majuha na kuacha kuonesha kero za wanaichi hv tbc mmelogwa na pesa za mafisadi. Eti "ukweli na uhakika" bora uongo wa uhakika. Yani hadi yule mwanahabari wenu aliechomewa nyumba yake jana ameshindwa kueleza nn kinatokea mtwara. Tbc na ccm wote kanjanja.
 
JF yatosha
Achana na hao TBC.....Wamekataaaaaaa.
 
Uhuru wa kupata habari utakuwa umeondolewa. Hii nayo ni kuvunja Katiba ya nchi. Lakini tutafika tu. Meli ishang'oa nanga. Safari imeanza.
 
Ndio ukweli wenyewe toka ndani ya TBC kuwa simu imetoka magogoni na mjengozi

Kwanza kupunguza freequence za wenyemadishi kupata chanell

Pili kutorusha vipindi vya bunge hasa swala na gesi mpaka further notice

Kwa hiyo na hii JF inayotupa huu unyunyu nayo itafungwa?make hawajazuia kitu chochote kama hiyo simu tumeshaipata basi kuna live zaidi ya hii
 
Ndio ukweli wenyewe toka ndani ya TBC kuwa simu imetoka magogoni na mjengozi

Kwanza kupunguza freequence za wenyemadishi kupata chanell

Pili kutorusha vipindi vya bunge hasa swala na gesi mpaka further notice
Wakiambiwa ni TBCccm wanabisha... Tido Mhando walimuondoa kwa mambo kama haya, sijui huyu wa sasa kama atapona
 
i dodged school kuangalia bunge. Ala! This dumbnuts
 
Ndio ukweli wenyewe toka ndani ya TBC kuwa simu imetoka magogoni na mjengozi

Kwanza kupunguza freequence za wenyemadishi kupata chanell

Pili kutorusha vipindi vya bunge hasa swala na gesi mpaka further notice

Washamba kweli kweli!! Information super highway itafanya kazi yake; Hosni Mubarak alifunga mpaka internet trafic bado haikumuokoa! mbona bado tunapata coverage ya Mtwara na TBC ipo off air!
 
Back
Top Bottom