Protokali imezingatiwa!

Protokali imezingatiwa!

Jackbauer

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
6,068
Reaction score
2,225
Haya nimeyasikia kwenye sherehe za mapinduzi;

Mh.rais wa serikali ya mapinduzi zanzibar.
Mh rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania...

Hivi ni kweli rais wa jamhuri akienda zanzibar anakuwa chini ya rais wa zanzibar?
 
Kwa kuwa ni sherehe za mapinduzi ya Zanzibar ambayo yalitokea kabla ya Muungano na kwa kuwa mkuu wa serikali hiyo ya mapinduzi ni rais wa Zanzibar, mwenye madaraka zaidi katika hilo ni rais wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar na si rais wa Muungano; - Ni mawazo yangu tu!
 
Michanganyo tu, kwani li muungano lenyewe linaeleweka?
 
Back
Top Bottom