Protokali imezingatiwa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Protokali imezingatiwa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jackbauer, Jan 12, 2011.

 1. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #1
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Haya nimeyasikia kwenye sherehe za mapinduzi;

  Mh.rais wa serikali ya mapinduzi zanzibar.
  Mh rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania...

  Hivi ni kweli rais wa jamhuri akienda zanzibar anakuwa chini ya rais wa zanzibar?
   
 2. S

  Saiguran Member

  #2
  Jan 12, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa kuwa ni sherehe za mapinduzi ya Zanzibar ambayo yalitokea kabla ya Muungano na kwa kuwa mkuu wa serikali hiyo ya mapinduzi ni rais wa Zanzibar, mwenye madaraka zaidi katika hilo ni rais wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar na si rais wa Muungano; - Ni mawazo yangu tu!
   
 3. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #3
  Jan 12, 2011
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,423
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  Michanganyo tu, kwani li muungano lenyewe linaeleweka?
   
Loading...