Nilipomuona last time ulinzi wake,( na magari) ulikuwa very light-hearted.
Lakini it is unnatural' kuuliza mtu ana walinzi wangapi.
Do you want to harm him?
Huyu alikua tishio hata kwa magu ndo maana magu alimtupaubaloxini mbali huko.
Hata mama awe makini hata hiyo mi tano tena sijuiii.......
Naomba niishie hapo
Tanzania Vituko Tupu, Yule Baba Yupo Wa Zanka Ila Fitna Imepigwa Eti Kachoka
Huyu Wa Nyasa Naye Muda Wa Kupewa Hadhi Ya Uteule Bado
Maana Bunge Linapumua Hata Kuvunjwa Bado