Protein supplements

Protein supplements

Naona unataka kuwa Dorian Yates..... Je unakuwa professional kweli au style ya kutunisha chest kitaa tu?
😅😅😅😅
 
Jinsi ya kutengeneza "powder" yako. Natural
1: Mbegu za maboga
2:Minofu ya samaki wakavu
3:Jamii ya Nut (karanga,almond,korosho,walnuts)
4:Maziwa(skim milk)
5:Ndizi mbivu au parachichi
Brend pamoja iwe kama "Smooth juice" then uwe na chupa nzuri unaweka hakikisha unakunya even robo lita 45Min before hujaingia gym na ukitoka gym ndani ya 15Mins unywe pia.
Kumbuka Hii ni kiongeza mwendo(Supplementary food) ratiba yako ya kula vyakula vya kila siku endelea nayo tu.
Then ukiwa gym hakikisha unafanya mazoez kweli.. go harder.
Pia hakikisha mchana ambapo muda sio wa mazoez uwe unakunywa robo lita ya hio smooth masaa mawili baada ya chakula cha mchana..
Pia na breakfast yako ya kila siku isikose kati ya yai,karanga mbichi, supu ya kuku au samaki kama unajiweza kiuchum..
Muda wa mchana pia jitahid sana kunywa maji saaaana..
Usik saa tatu uwe ushalala, mwili upumzishe.
Trust me 3 Months watu watakushangaa!!!
 
sasa mkuu minofu ya samaki wakavu wanapatikana wapi?
 
Back
Top Bottom