Protect dvd/cd from copying

ymollel

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
3,051
2,000
habari zenu wadau. ninahitaji msaada wa software nitakayoweza kuzuia CD/DVD from copying. nahitaji nikiBurn CD/DVD iwe kama zile za bongo movie inaonekana kama ni 300GB , na haifai kukopy kwa Nero au Ashampoo au NTI. Tafadhali mwenye kujua anifahamishe
 
Good Guy

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
3,794

As far as i know, that's impossible. Ukisharuhusu CD itoke mikononi mwako data hizo lazima zitawezekana kua copied! Hollywood wameshajaribu kuzui hiki kitu na wameshindwa (na mind you Waliwekeza hela ndefu kwene CD protection, ila imeshindikana)! Your best bet ni labda kuweka vi2 vyako kwene archive na kuvifunga na password ili mtu asiye na password asiweze kuviona!! Or unaweza tumia Encryption softwares kama Truecrypt ambayo itaweka data zako in encrypted format. Ili kuzi access mpaka mtu azi-mount kwanza! overall huwezi kuzui mtu akaview content za CD na asizicopy
 
Joeli

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
4,955
2,000
Hakuna kinachoshindikana when comes to.piracy. cd za bongo movie zinakopika sana tu. Hata za kizungu ambazo wanaziprotect lakini zinakopika..
 
ymollel

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
3,051
2,000
As far as i know, that's impossible. Ukisharuhusu CD itoke mikononi mwako data hizo lazima zitawezekana kua copied! Hollywood wameshajaribu kuzui hiki kitu na wameshindwa (na mind you Waliwekeza hela ndefu kwene CD protection, ila imeshindikana)! Your best bet ni labda kuweka vi2 vyako kwene archive na kuvifunga na password ili mtu asiye na password asiweze kuviona!! Or unaweza tumia Encryption softwares kama Truecrypt ambayo itaweka data zako in encrypted format. Ili kuzi access mpaka mtu azi-mount kwanza! overall huwezi kuzui mtu akaview content za CD na asizicopy

Najua haiwezekani kuzuia copying 100% . Lakini mimi nilitaka kujua tu software ya kuzuia copy tena kwenye movie. Yaani movie iweze kuPlay kwenye deck lakini iwe ngumu kuCopy kwa computer. Kama vile wanavyofanya baadhi ya bongo movies
 
wickerman

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
406
250
Yani kama ni CD za movie, aisee hyo haiwezekani, mtu anaplay movie kwa VLC, halafu anaclick kitu cha Record... Hahahaahaha, Amen! Piracy Forever!
 
ymollel

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
3,051
2,000
ku-Copy protected CD/DVD unatumia software kama vile "DVD Fab" au "Apollo"
 
Sirbuni

Senior Member
Aug 19, 2012
103
195
Software za kuzuia kucopy CD/DVD za movie zipo(Mimi ninayo moja) japokuwa hazizuii kwa 100% mtu kucopy esp. kama ni advanced users. Ila kwa watumiaji wa kawaida, hiyo inaweka ugumu kidogo hivyo kuwafanya wapotezee plan yao ya kucopy.
So, bora kutumia software ya kuzuia CD/DVD copying ili kupunguza idadi ya watu wanaokopy kuliko kuacha mtu yeyote akopy.
Binafsi natumia DVDFab kukopy protected CD/DVD.....:msela::msela::msela:
 
gwakipanga

JF-Expert Member
Dec 1, 2011
629
500
1-2 tulivyokuwa darasa la kwanza na la pili jibu lilikuwa haiwezekani. Kifupi hakuna kinachozuia DVD au CD kucopy.
 
ymollel

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
3,051
2,000
Software za kuzuia kucopy CD/DVD za movie zipo(Mimi ninayo moja) japokuwa hazizuii kwa 100% mtu kucopy esp. kama ni advanced users. Ila kwa watumiaji wa kawaida, hiyo inaweka ugumu kidogo hivyo kuwafanya wapotezee plan yao ya kucopy.
So, bora kutumia software ya kuzuia CD/DVD copying ili kupunguza idadi ya watu wanaokopy kuliko kuacha mtu yeyote akopy.Binafsi natumia DVDFab kukopy protected CD/DVD.....:msela::msela::msela:

Naomba jina la hiyo software ya kuzuia kukopy
 
jumak

Member
Oct 21, 2013
8
0
Mzee sabuni Samahani naomba msaada wanamba yako ya sim nimekupoteza Samahani sana kwa usumbufu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom