Hope urassa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 4,586
- 11,362
Ultumiaje Mkuu?sio rahisi kvipi mkubwa?Si Rahisi Kiivyo Ila Inawezekana,ungeeleza What You Have Achieved Through That Principle, Kujenga Iman Kwa Hadhira, Mm Nakumbuka Nikiwa Niko Mwaka Wa Kwanza Chuo Kikuu Kuna Kozi Moja Ya Kemistri Ni Ngumu Balaa, Organic Chemistry I, Nilitumia Hiyo Principle Nikapata A, Ni Baada Ya Kusoma Kitabu Cha The Power Of Subconcious Mind By Joseph Murphey, Haikuwa Rahisi , Razima Ujiandae Kulipa Gharama Ya Focus To The Intended Direction
Sent using Jamii Forums mobile app