Prosecutors kuwa macho na defective charge against Sabaya, itasababisha aachiwe

Kumbuka time doesn't run against the government kwenye criminal changes pia defective charge haizuii mtuhumiwa kukamatwa tena.

Anaweza kuwa acquitted then hapohapo anakamatwa Tena ikiletwa charge sheet mpya.

So worry out.
Kama walivokua wanawafanyia akina mdee kipindi kile
 
Shitaka la milioni1 kwa kunyonya mafuta lita zisizo na idadi!
 
Hachomoki
Kama uliwahi kuifatilia ile kesi ya watu wa madini waliouwawa msitu wa pande utajaribu kunielewa
Yalikosewa maneno mawili matatu tu , yakamfanya kamanda aonekane innocent.na kumwuweka huru .
Kesi ngumu inategemeana na mwendesha mashtaka alivyo i frame, akikosea , hata wenye hatia wanaweza kuwa huru.
 
Bora umekiri hujui/husomi sheria. Ungejinasibu unesoma au unajua Sheria ningekuomba utuandikie hapa contents za Charge Sheets zinatakiwa kuwaje.

Msema kweli mpenzi wa Mungu.
 
Kesi ilifunguliwa juu ya KUUA, mwisho wa siku alieshika Bastola akaua alikua ni mmoja tu, nae ni Koplo Saad, hakua Kamanda Zombe, so akachomokea hapo.

Yaan iwe Zombe alishuhudia au hakushudia, au alipanga au hakupanga, alikuwepo eneo la tukio au hakuwepo, lakin kesi haikuhitaji hayo yote, ilihitaji tu ALIEUA.
 
Hao wengine hawatakua na kosa la kutumia ofisi ya umma hivyo wataachiwa sababu walitumwa na mshitakiwa namba moja, lakini watafunguliwa mashitaka mengine ya kushiriki.
Money kuna mashitaka mawili au matu lazima alambe miaka 30
Hata asilambe miaka. Kitendo Cha kuondolewa marinda kimemtia adabu lkn pia kitendo Cha kufungwa pingu mtu aliyeonekana kinara kimewafurahisha wengi.
 
We kweli taahira.

Nenda kafanye research online....ujue elements za kosa la 'leading organized crime' zinakuaje.

Kwa uwezo wa ma State Attorney ninaoujua mimi....hiyo charge wamejitahidi sana kuiDraft.

Kuhusu page kua 50 maana wana makosa mengi .....hiyo sio kazi yangu mimi....State Attroney ndie anayeamua amCharge na makosa mangapi.

Sasa ulitaka amCharge na makosa mia 7 wakati ana ushahidi wa kueleweka wa makosa 4??

Hivi ni kweli kwamba mna uwezo mdogo wa kufikiri kiasi hiki,,?

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…