Prosecutors kuwa macho na defective charge against Sabaya, itasababisha aachiwe

Kumbuka time doesn't run against the government kwenye criminal changes pia defective charge haizuii mtuhumiwa kukamatwa tena.

Anaweza kuwa acquitted then hapohapo anakamatwa Tena ikiletwa charge sheet mpya.

So worry out.
Kama walivokua wanawafanyia akina mdee kipindi kile
 
Tukimalizana na Sabaya tuelezwe kwanini wezi wakubwa wa mafuta kigamboni wamepelekwa mahakamani kimyakimya bila chombo chochote cha habari kulipoti. Wameshitakiwa kwa kosa dogo la kuisababishia serikali hasara ya Tsh milioni moja na nusu na kupata dhamana kimyakimya.
Shitaka la milioni1 kwa kunyonya mafuta lita zisizo na idadi!
 
Hachomoki
Kama uliwahi kuifatilia ile kesi ya watu wa madini waliouwawa msitu wa pande utajaribu kunielewa
Yalikosewa maneno mawili matatu tu , yakamfanya kamanda aonekane innocent.na kumwuweka huru .
Kesi ngumu inategemeana na mwendesha mashtaka alivyo i frame, akikosea , hata wenye hatia wanaweza kuwa huru.
 
Kwamba kosa ni lugha hafifu tu ila particulars zimejitosheleza?

We jamaa haupo sawa kichwani mimi sisomi sheria na sijawahi hata kusikiliza kesi moja ila naona utumbo tu kwenye hii report

1st statement wameshindwa justify hiyo Organized crime imefanyika vipi hivyo hiyo kesi inaonekana wazi ni Corruption ya makubaliano ya pande zote mbili

Mashtaka yake yapo mengi ilitakiwa zije page angalau 50 ndio uchunguzi uendelee yeye akiwa ndani anasubr
Bora umekiri hujui/husomi sheria. Ungejinasibu unesoma au unajua Sheria ningekuomba utuandikie hapa contents za Charge Sheets zinatakiwa kuwaje.

Msema kweli mpenzi wa Mungu.
 
Kama uliwahi kuifatilia ile kesi ya watu wa madini waliouwawa msitu wa pande utajaribu kunielewa
Yalikosewa maneno mawili matatu tu , yakamfanya kamanda aonekane innocent.na kumwuweka huru .
Kesi ngumu inategemeana na mwendesha mashtaka alivyo i frame, akikosea , hata wenye hatia wanaweza kuwa huru.
Kesi ilifunguliwa juu ya KUUA, mwisho wa siku alieshika Bastola akaua alikua ni mmoja tu, nae ni Koplo Saad, hakua Kamanda Zombe, so akachomokea hapo.

Yaan iwe Zombe alishuhudia au hakushudia, au alipanga au hakupanga, alikuwepo eneo la tukio au hakuwepo, lakin kesi haikuhitaji hayo yote, ilihitaji tu ALIEUA.
 
Hao wengine hawatakua na kosa la kutumia ofisi ya umma hivyo wataachiwa sababu walitumwa na mshitakiwa namba moja, lakini watafunguliwa mashitaka mengine ya kushiriki.
Money kuna mashitaka mawili au matu lazima alambe miaka 30
Hata asilambe miaka. Kitendo Cha kuondolewa marinda kimemtia adabu lkn pia kitendo Cha kufungwa pingu mtu aliyeonekana kinara kimewafurahisha wengi.
 
Kwamba kosa ni lugha hafifu tu ila particulars zimejitosheleza?

We jamaa haupo sawa kichwani mimi sisomi sheria na sijawahi hata kusikiliza kesi moja ila naona utumbo tu kwenye hii report

1st statement wameshindwa justify hiyo Organized crime imefanyika vipi hivyo hiyo kesi inaonekana wazi ni Corruption ya makubaliano ya pande zote mbili

Mashtaka yake yapo mengi ilitakiwa zije page angalau 50 ndio uchunguzi uendelee yeye akiwa ndani anasubr
We kweli taahira.

Nenda kafanye research online....ujue elements za kosa la 'leading organized crime' zinakuaje.

Kwa uwezo wa ma State Attorney ninaoujua mimi....hiyo charge wamejitahidi sana kuiDraft.

Kuhusu page kua 50 maana wana makosa mengi .....hiyo sio kazi yangu mimi....State Attroney ndie anayeamua amCharge na makosa mangapi.

Sasa ulitaka amCharge na makosa mia 7 wakati ana ushahidi wa kueleweka wa makosa 4??

Hivi ni kweli kwamba mna uwezo mdogo wa kufikiri kiasi hiki,,?

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom