misnomer JF-Expert Member Apr 13, 2011 200 69 Apr 27, 2012 #2 Inabidi Magufuli awaeleze wawe wanabandika mabango ya Kiswahili au hata kilugha, waachane na lugha za watu
Inabidi Magufuli awaeleze wawe wanabandika mabango ya Kiswahili au hata kilugha, waachane na lugha za watu
M Mkeshaji JF-Expert Member Jan 7, 2011 4,262 1,416 Apr 28, 2012 #3 Kwani wamekosea nini hapo!? Hiyo Republic ni kweli haipo na hiyo ndo proposal yao.
Kombo JF-Expert Member Oct 29, 2010 1,812 509 Apr 28, 2012 #5 Daaah...! Hadi ubao umechakaa hakuna mjanja aliyeona hilo kosa akalisahihisha? Kumbe hata usingekuwepo, wasingegundua pia! Nchi ya ajabu sana hii.
Daaah...! Hadi ubao umechakaa hakuna mjanja aliyeona hilo kosa akalisahihisha? Kumbe hata usingekuwepo, wasingegundua pia! Nchi ya ajabu sana hii.
Kinyungu JF-Expert Member Apr 6, 2008 17,442 33,162 Apr 28, 2012 #6 Hawajakosea; hii nchi inabidi iandikwe proposal ya kui-construct upya toka kwenye msingi!