Proposed Republic of Tanzania

Utingo

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
10,270
8,031
Construction is under way

542867_395763877113291_100000390455686_1275867_1280041313_n.jpg
 
Inabidi Magufuli awaeleze wawe wanabandika mabango ya Kiswahili au hata kilugha, waachane na lugha za watu
 
Kwani wamekosea nini hapo!?
Hiyo Republic ni kweli haipo na hiyo ndo proposal yao.
 
Daaah...! Hadi ubao umechakaa hakuna mjanja aliyeona hilo kosa akalisahihisha? Kumbe hata usingekuwepo, wasingegundua pia! Nchi ya ajabu sana hii.
 
Hawajakosea; hii nchi inabidi iandikwe proposal ya kui-construct upya toka kwenye msingi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom