Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,379
JESHI LA POLISI JIJI LA MWANZA WALINISHIKISHA BASTOLA mwaka 2013.
Nilipofika kituo cha Polisi Central hapa Jiji Mwanza kwa shida ya kiofisi ya RB nikamkuta mtu mmoja ambaye na mfahamu kama Polisi (Abdalah Twaha) waliniingiza chumba cha ndani kutoka mapokezi, tukakuta maaskari wawili mezani, pale mezani kulikuwa na BASTOLA.
Wakaniambia tunauza hii bunduki lete pesa tukuuzie, nikawaambia Mimi kwasasa bado sijawa na hadhi ya kumiliki BASTOLA, wakaniambia hebu ishike uone ilivyo nyepesi, niligoma, wakaniambia wewe shika tu hakuna madhara ili ukipata pesa uje tukupe ya saizi yako.
Basi nikajaribu kuishika ili kuwafariji tu. Wakaniuliza umeionaje ni nyepesi au? Nikawaambia ndio lakini Mimi sina shida na BASTOLA nimekuja kupata Ushauri ili nichukue RB.
Nilienda ofisi husika nikahudumiwa na kuondoka hapo kituoni. Nimeshangaa majuzi watu wanasema Deo hachomoki kimaisha tulitumia Polisi kumshikisha BASTOLA akiinuka tunabambika na kesi.
Bila kujua walioshiriki kuratibu zoezi hilo ni aliyekuwa Kaimu Katibu wa UVCCM MKOA wa Mwanza, Mkuu wa wilaya aliyepita, kijana mmoja wa CCM Mwanza ambaye sasa ni Mkuu wa wilaya DSM na wana CCM baadhi kwa lengo la kuja kunidhalilisha mbeleni.
Kwa kitendo hiki RPC Mwanza, OCD na CID NYAMAGANA wanapaswa kujitathimini juu ya udhalilishaji huu. Kumbe watu wanasingiziwa kesi Mungu akiwainua wanawapa tuhuma walizozitegeshea.
Na laani kitendo cha Jeshi la Polisi jijini Mwanza kunifanyia unyama huo mwaka 2013, kumbe mnashirikiana na wanasiasa kubambika kesi. Mungu anaona.
Wasalaam,
Deogratius Nalimi Kisandu
Mtemi Kiongozi wa chama cha ACA tarajiwa.