Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,379
DUNIA NI BORA IHARARISHE MADAWA YA KULEVYA.(cocaine)
Jamani wapo Wabunge wamepata Ubunge kwa kuchangiwa na pesa zilizotokana na madawa hayo.
Yapo Makanisa na Miskiti imepata michango na fedha kutokana na madawa hayo.
Wapo watumishi wa Mungu wanafanya biashara hizo kinyemela kupitia mgongo wa Dini.
Vipo vyama vya Siasa wamepata fedha za michango kutoka kwa wauzaji wa madawa hayo.
IPO misaada inatolewa kwenye majanga na maafa, fedha zake zimetokana na madawa hayo.
Zipo Serikali Duniani zinatawala kwa kutegemea wenye fedha za madawa ya kulevya.
Wapo wasanii wanatoka kimziki kwa msaada wa wamiliki wa madawa hayo.
Ndio maana serikali nyingi Duniani wanajua ila kuwataja ndio huwa propaganda kedekede.
Kama bangi baadhi yaNchi zimehalarishwa ni vyema na hili likaangaliwa kama ilivyo kwa UKIMWI, yaani mtumiaji akiathirika shauri yake iwe hivi "utumiaji wa madawa ya kulevya ni hatari kwa maisha yako"
Mbona madaktari huvuta makemiko maabara na kulewa. Dunia ijaribu kulitazama upya jambo hili. Maana imeshindwa kulithibiti.
Mara nyingi imekuwa kila anayetaja lazima atakufa au kuingizwa katika biashara hiyo bila kujua, mfano Serikali inafadhiliwa kipindi cha uchaguzi mkuu na matajiri wakubwa ambao ni wachuuzi wa cocaine. Haya ni maoni yangu, nisinukuliwe vibaya. TUTAFAKARI DUNIA NZIMA.
Deogratius Nalimi Kisandu.
Mtemi Kiongozi wa chama cha ACA tarajiwa.