Nakufahamu sana Muda wote umetutesa sana enzi za Jpm.GTs,
Nadhani kila mmoja ni shuhuda wa yanaoendelea kuhusu nchi yetu. Kuna mambo kadhaa mengi ambayo kila mtanzania anayalalamikia...
Huyu Jamaa ameokoka hataki tena kuunga mkono wasiojulikanaMkuu.....
ID yako imedukuliwa ama...🤔
Huyu Jamaa ameokoka hataki tena kuunga mkono wasiojulikMkuu.....
ID yako imedukuliwa ama...🤔
hao wenye akili kubwa ccm itawatoa wapi? Kule kuna wenye vyeti tuNashauri think tank ya CCM ibadilishwe watu wenye akili ndogo waondolewe waweke watu wenye akili kubwa hapo chama chetu kitakuwa na ushawishi kwa vijana na wasomi.
Hahahahaha jamani lakini ukilinganisha kipindi cha Dkt Magufuli na sasa nadhani hata wewe unaona ilikuwa sahihi kuwa upande wa Dkt Magufuli. Nyie ndiyo mnaaza kujuta kusema ana upiga mwingi eti mliharakisha kumpa benefit kf doubt Dkt Samia. Poleni sana.Nakufahamu sana Muda wote umetutesa sana enzi za Jpm.
Kwanza uache dharau ili ujumbe ulionao japo ufikiriwe kusomwa au kusikilizwa.GTs,
Nadhani kila mmoja ni shuhuda wa yanaoendelea kuhusu nchi yetu. Kuna mambo kadhaa mengi ambayo kila mtanzania anayalalamikia, moja wapo ufisadi, kutokuwajibika, watu kutekwa na wanaojiita polisi na kuuawa etc. Tuhuma zote hizo zinahitaji majibu toka kwa mamlaka husika, ila bahati mbaya ni kinyume inatokea. Nitatoa mifano michache ya jumla.
1. Kuuawa kwa kada wa kile ki NGO cha Mbowe. Ajabu badala ya kuhitaji uwajibikaji ndani ya jeshi la polisi na vyombo vingine basi CCM tumejikita kutengeneza na kusambaza uongo eti ionekane Mbowe ni mtekaji.
Kibaya zaidi watu wangi bado hawajulikani walipo na Mbowe na kigenge chake cha NGO wameitisha maandamano wakitaka vitu simple tu, majibu ya hao waliopotea ila cha ajabu sisi CCM tumekazana na kutengeneza vi clip eti wafuasi wa Mbowe wanampinga eti maandamano.
Hivi mtanzania mwenye akili yeyote mwenye uelewa mpiga kura hawezi kung’amua kuwa hizo ni clip zimetengenezwa na wahuni wahuni tena wala siyo wafuasi wa NGO ya mbowe???
Hivi sisi kama CCM tumekosa kabisa mkakati wa kuona namna ya hawa wenzetu wanavyoumia tuone namna hata ya kuitisha press conference ya pamoja tukakubaliana hata kufanya maandamano ya pamoja hata ya siku mbili kuonesha solidarity ya kweli watanzania wameumizwa na utekaji???
Au kwa nini na sisi kama CCM tusiandae maandamano yetu ya Amani???? Lakini unakuta CCM tunaeneza propaganda ambazo kila mtanzania anaona sisi ni wajinga wajinga tunatetea ufisadi, wizi na utekaji.
Nashauri think tank ya CCM ibadilishwe watu wenye akili ndogo waondolewe waweke watu wenye akili kubwa hapo chama chetu kitakuwa na ushawishi kwa vijana na wasomi.
Ila kwa mtindo wa sasa tutaendelea kupata kura kwa watu wa vijijini tunaowapatia kofia, tisheti na vitenge ila hawa vijana wa sasa tusahau kura zao.
Ikitokea ukakutana na "wewe" aliekua anaandika nyuzi miaka ya nyuma kidogo lazima mtapasuana mazee...😂Bosi chama changu kinakera sana. Tumekuwa watu kama wa Simba, propaganda kibao
Subiri majibu utarejesha humu menyewe.Kwani mbowe ana chama au ni NGO, mtu gani hataki kuachia uenyekiti
Kama kaka lucasGTs,
Nadhani kila mmoja ni shuhuda wa yanaoendelea kuhusu nchi yetu. Kuna mambo kadhaa mengi ambayo kila mtanzania anayalalamikia, moja wapo ufisadi, kutokuwajibika, watu kutekwa na wanaojiita polisi na kuuawa etc. Tuhuma zote hizo zinahitaji majibu toka kwa mamlaka husika, ila bahati mbaya ni kinyume inatokea. Nitatoa mifano michache ya jumla.
1. Kuuawa kwa kada wa kile ki NGO cha Mbowe. Ajabu badala ya kuhitaji uwajibikaji ndani ya jeshi la polisi na vyombo vingine basi CCM tumejikita kutengeneza na kusambaza uongo eti ionekane Mbowe ni mtekaji.
Kibaya zaidi watu wangi bado hawajulikani walipo na Mbowe na kigenge chake cha NGO wameitisha maandamano wakitaka vitu simple tu, majibu ya hao waliopotea ila cha ajabu sisi CCM tumekazana na kutengeneza vi clip eti wafuasi wa Mbowe wanampinga eti maandamano.
Hivi mtanzania mwenye akili yeyote mwenye uelewa mpiga kura hawezi kung’amua kuwa hizo ni clip zimetengenezwa na wahuni wahuni tena wala siyo wafuasi wa NGO ya mbowe???
Hivi sisi kama CCM tumekosa kabisa mkakati wa kuona namna ya hawa wenzetu wanavyoumia tuone namna hata ya kuitisha press conference ya pamoja tukakubaliana hata kufanya maandamano ya pamoja hata ya siku mbili kuonesha solidarity ya kweli watanzania wameumizwa na utekaji???
Au kwa nini na sisi kama CCM tusiandae maandamano yetu ya Amani???? Lakini unakuta CCM tunaeneza propaganda ambazo kila mtanzania anaona sisi ni wajinga wajinga tunatetea ufisadi, wizi na utekaji.
Nashauri think tank ya CCM ibadilishwe watu wenye akili ndogo waondolewe waweke watu wenye akili kubwa hapo chama chetu kitakuwa na ushawishi kwa vijana na wasomi.
Ila kwa mtindo wa sasa tutaendelea kupata kura kwa watu wa vijijini tunaowapatia kofia, tisheti na vitenge ila hawa vijana wa sasa tusahau kura zao.
At least naona Mwana CCM kindakindaki umeandika kitu cha maana tofauti na wenzako.GTs,

Tatizo kubwa CCM tumefikia pahala tumekuwa watu wa kulinda maslahi badala ya uhalisia tofauti na kipindi cha Dkt Magufuli, wala huwezi kusikia uzalendo toka kwa viongozi kama ilivyokuwa kwa Dkt Magufuli zaidi ya kulindana lindana tu. Nilitegemea hapa mi kama mwana CCM IGP au Waziri wa Mambo ya Ndani awajibishwe kuponesha serikali, nilitegemea wale wote wenye tuhuma za ufisadi watolewe kwenye nafasi zao kupisha uchunguzi. Badala yake kwa hali ilivyo sasa kila kitu rushwa rushwa tu yaani vitu vinge kwa sehemu kubwa kama hujatoa rushwa sahay kupata haki yako.At least naona Mwana CCM kindakindaki umeandika kitu cha maana tofauti na wenzako.
Kongole sana kwa hili.
Naomba nikuulize kitu, CCM wengi humu jamvini ni mambumbumbu/vilaza wakubwa au wanajitoa ufahamu sababu ya kupata mlo!!???
huku kuna NGO's na kule kwingine kuna kundi la vibaka na watekajiKwani mbowe ana chama au ni NGO, mtu gani hataki kuachia uenyekiti
Hivi ulitumbuliwa ama????GTs,
Nadhani kila mmoja ni shuhuda wa yanaoendelea kuhusu nchi yetu. Kuna mambo kadhaa mengi ambayo kila mtanzania anayalalamikia, moja wapo ufisadi, kutokuwajibika, watu kutekwa na wanaojiita polisi na kuuawa etc. Tuhuma zote hizo zinahitaji majibu toka kwa mamlaka husika, ila bahati mbaya ni kinyume inatokea. Nitatoa mifano michache ya jumla.
1. Kuuawa kwa kada wa kile ki NGO cha Mbowe. Ajabu badala ya kuhitaji uwajibikaji ndani ya jeshi la polisi na vyombo vingine basi CCM tumejikita kutengeneza na kusambaza uongo eti ionekane Mbowe ni mtekaji.
Kibaya zaidi watu wangi bado hawajulikani walipo na Mbowe na kigenge chake cha NGO wameitisha maandamano wakitaka vitu simple tu, majibu ya hao waliopotea ila cha ajabu sisi CCM tumekazana na kutengeneza vi clip eti wafuasi wa Mbowe wanampinga eti maandamano.
Hivi mtanzania mwenye akili yeyote mwenye uelewa mpiga kura hawezi kung’amua kuwa hizo ni clip zimetengenezwa na wahuni wahuni tena wala siyo wafuasi wa NGO ya mbowe???
Hivi sisi kama CCM tumekosa kabisa mkakati wa kuona namna ya hawa wenzetu wanavyoumia tuone namna hata ya kuitisha press conference ya pamoja tukakubaliana hata kufanya maandamano ya pamoja hata ya siku mbili kuonesha solidarity ya kweli watanzania wameumizwa na utekaji???
Au kwa nini na sisi kama CCM tusiandae maandamano yetu ya Amani???? Lakini unakuta CCM tunaeneza propaganda ambazo kila mtanzania anaona sisi ni wajinga wajinga tunatetea ufisadi, wizi na utekaji.
Nashauri think tank ya CCM ibadilishwe watu wenye akili ndogo waondolewe waweke watu wenye akili kubwa hapo chama chetu kitakuwa na ushawishi kwa vijana na wasomi.
Ila kwa mtindo wa sasa tutaendelea kupata kura kwa watu wa vijijini tunaowapatia kofia, tisheti na vitenge ila hawa vijana wa sasa tusahau kura zao.
kama chadema ni NGOs nafikiri ulipaswa kuiita ccm genge la wahuni na wauaji,ila nachoshukuru ni pamoja na yule katibu wao mkubwa yupo kwenye kundi la wenye akili ndogo uliowataja yaani hawajielewiGTs,