Propaganda ya udini na ukabila kwenye suala la uwekezaji kwenye Bandari

- Vita ya kidini ikitokea Tanganyika itakua na madhara makubwa. kwasababu tuna dini kubwa mbili zenye mitazamo tofsuti.

- Moto wa vita hii unachochewa siku baada ya siku, wachochezi wakubwa wakiwa ni wanasiasa.

- Watanganyika wameishi pamoja kwa muda mrefu ingawa wana imani tofauti za kidini. Wazanzibari wao hawana udhoefu huu, kwa ni nchi yao, in practice ni ya kidini, dini moja.

USHAHURI
- Watanganyika tuwe makini sana na Zanzibar na Wazanzibari kabla hatujachelewa.
Na issue udini utokea kipindi cha rais akiwa muislam,cabinet ya jpm ilikua na mawaziri 2 waislam ila hamna muislam aliyelalamika,imagine nyakati hizi mama samiah awe na mawaziri 2 wakristo kwenye cabinet yake
 
Habari za mida hii, nina imani nyote ni wazima kabisa. "ASIYEKUBALI UPINZANI WA MAWAZO NI PUNGUANI" JK NYERERE

Moja kwa moja niende kwenye mada juu ya uwekezaji kwende bandari zetu.

1. Uwekezaji umechukua sura ya udini, walio wengi kuunga hoja mkono hata wale ambao siku zote hupinga inayafanya serikali mfano Shekhe Ponda.

2. Suala hili pia limekumbwa na ushabiki mkubwa sana wakikanda yaani watu toka zanzibar wanalipambania hili suala sana lifanikiwe, wakati hapo mwanzo walikua wakosoaji wakubwa wa serikali mfano Fatuma Karume.

3. Ukiangalia wengi wa wanaolipigia debe hili suala ni wale walambishwa asali na walioko kwenye mifumo ya (maokoto) kama wasemavyo vijana.

4. Media coverage ya ovyo na ya kitoto inayofanywa kupitia vyombo vya habari vyenye nguvu bila kujua mdhamini wao au nguvu ilokua nyuma yao.

5. Msemaji mkuu wa serikali kukosa ufahamu zaidi kwenye masuala nyeti ya taifa kama hili, maana anavyoropoka yeye na kilichozungumzwa na watendaji wakuu wa TPA na PM Majaliwa na waziri mwenye dhamana vina utofauti mkubwa sana wa kimantiki na maana. Yeye Msigwa anatuambia ni makubaliano na wakati bungeni tumeelezwa ni mkataba. MSIGWA HATOSHI KWENYE HII NAFASI MAMA MPELEKE AKAWE RAS MARA HUKO.

6. Spika wa bunge amekua akitoa maagizo ya kudeal na raia wanaotoa mawazo kinzani kuhusu mkataba, sasa nikahoji ni yapi mamlaka ya spika kwa watu wanaokinzana na mawazo ya serikali? na je bunge lipo kwa ajili ya kuilinda serikali kwenye kila jambo?

7. Nahisi mastermind wa serikali na chama cha mapinduzi Ndg. Magoti na vijana wake wameanza kupwaya maana wanaibua masuala na hoja nyepesi sana za kufanya watu wasahau suala la bandari lakini inakua ngumu, mfano suala la mwanafunzi Esther wa Mbeya.

8. Nilitegemea katika hoja nzito kama hii chama cha mapinduzi kamati kuu wangekutana kujadili na kuzijibu hoja kuu za wananchi wakiwa na majibu walioafikiana.

9. Kauli ya Rais Samia jana akiwa Arusha ina ukakasi sana kuwa wao hata wasemeje yeye anafanya hasikilizi yeye anfanya tu, inamaana hata hili la bandari keshaamua sie tunajisumbua tu siyo?

Karibuni kwa majadiliano.
Wazanzibar wanataka bandari za Tanganyika ziuzwe akiwepo Makame Mbarawa na mashabiki wao kibao lakini hawataki bandari za Zanzibar zijumuishwe katika mauzo hayo ya kikatili na kihaini.
 
Wazanzibar wanataka bandari za Tanganyika ziuzwe akiwepo Makame Mbarawa na mashabiki wao kibao lakini hawataki bandari za Zanzibar zijumuishwe katika mauzo hayo ya kikatili na kihaini.
wanataka wapate pesa za kujengea daraja la kutoka dar to zanzibar
 
wengi wa vichwa flat ndo wanashabikia udini, sisi watanganyika tunajuana toka kitambo, udini, ukabila na urangi kwetu si chochote.Sasa nenda makunduchi ilione balaa lake
 
Back
Top Bottom