Propaganda vs facts!

Sifa kuu ya mtu kuwa mpinzani ni ule uwezo wa kujitoa akili hadharani, kujifanya mjinga wakati akili zipo tena nyingi tu. Huwezi kutumia miaka 8 katika kumchafua mtu hadharani halafu wewe huyo huyo unataka kutumia miezi 3 ya kampeni katika kumsafisha, utaweza kufanya hivyo ikiwa kwa makusudi kabisa umeamua kujitoa akili.
 
Majina yalikuwa mwisho 2011,mwaka uliofuata ndio wakaleta mfumo mpya wa kutoa kwa Namba,
 


mbona una hasira mkuu maelezo yamekuingia barabara eeh? ahsante GJ MALISA wapumbavu wataukimbia ukweli.
 
Hatari. Kwa hiyo walipoona unawasumbua sana na hoja za Jesca wakaona wakutefutie hoja feki ili wakuchafue! Ha ha ha, staili ile ile kama ya waliyotumia kwa EL baada ya kuondoka chamani kwao...............they are very good at it.
 
Imekuuma eee?
 

chief, wengine bado hatujaouna huo ufafanuzi.

pengine ingekuwa msaada mkubwa kwetu sisi wengine tusioelewa uki-edit kidogo hizi data za Malisa hapa chini:

=========================
Form four 2011
Kureseat 2012
Form five 2013/14
Form six 2014/15.
First year 2015/16
Means alipaswa kuwa firstvyear kwa sasa, but now yuko second year. Mathematical inbalance.

Or kama alianzia Certificate basi ilipaswa kuwa hivi,
Certificate 2012/13,
Diploma one 2013/14,
Diploma two 2014/15,
First Year 2015/16.
So alipaswa kuwa 1st year now, but yuko second year anaingia 3rd year. Another mathematical inbalance
===================================================================
 
Kama lumumba ndio wamekutuma wewe basi kazi kweli kweli.Soma tena kwa umakini hoja za malisa ndio utaelewa ulipaswa kuzungumzia nini
 
Imekuuma eee?
Nachojua umeelewa nilichoandika. Kila mpumbavu anayesoma huelewa kuwa hoja yenu imekwisha mnachokifanya ni mnapimana nani taahira kuliko wote aendeleze ujinga huu. Utatuambia umekuwa taahira namba ngapi
 
Ulivyolipuka kama umeshikwa kalio
 
Nimetoa hili darasa nimeeleweka. Kwani niliokuwa nao darasani waliridhika sana. Wewe umekuta matini niyowaachia wenzio umepata kiu ya kufundishwa wakati muda umekwisha.
Mbona unakiu ya kujua hili je litakusaidia kufauru mtihani wa darasa la saba? Kama jawabu ni ndiyo somo litarudiwa. Kama ni hapana somo halirudiwi.
 

Irresponsible father yes but not kwa Baba Jesca the one I know.
 

kwa maelezo yako hapo juu nimetoka kapa.... labda kwanza unisaidie kujua maana ya hiyo misamiati yako mipya (in red).

halafu data ni muhimu zaidi.
 

Matusi hutusaidia sisi kujua umelelewa katika mazingira gani, maana haya wezi matusi kujibu hoja.
 
kwa maelezo yako hapo juu nimetoka kapa.... labda kwanza unisaidie kujua maana ya hiyo misamiati yako mipya (in red).

halafu data ni muhimu zaidi.

Maneno hayo hutumika sana Mashuleni (Kuanzia shule ya msingi hadi chuo kikuu), kama huyajui nivigumu kujadili hoja hapa JF.
 
Maneno hayo hutumika sana Mashuleni (Kuanzia shule ya msingi hadi chuo kikuu), kama huyajui nivigumu kujadili hoja hapa JF.
labda shule za uganga wa kienyeji mlingotini...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…