Propaganda vs facts!

Usiwe mshamba wa fikira wew, hujui kitu kaa kimya, acha kidomo domo kama mlevi wa viloba. Hakuna mfumo maalum wa kusoma certificate isipokuwa diploma, anaweza akawa alimaliza 2011 halafu mwaka huo huo akasoma certificate. Cjui akili yako ina wadudu gani. Thank God sijapata uongozi nchi hii, watu wa sina yako wanhekuwa wanakula maharage huko, huwezi ikawa unamuattack mtoto wa Kiongozi kwa kujifichia kwenye hoja dhaifu. Fumbagu thana
 
kwenye iyo article anasema amesoma majengo secondary n kama ndivyo ina maana kutakuwa na kina godlisten malisa watatu
aliesoma jk nyerere secondary
aliesoma minaki secondary
aliesoma majengo secondary

sasa ukienda kwenye records za majengo secondary jina la godlisten malisa halionekan jina la godlisten malisa linaonekana jk nyerere na minaki
wa jk nyerere anaitwa
GODLISTEN A MALISA alevel kasoma sengerema secondary kombi ya PGM kahitimu form six mwaka 2010 ila uyu wa chadema anaitwa GODLISTEN J MALISA na kwa mujibu wa maelezo yake anasema kuwa both olevel na alevel kasoma moshi cha ajabu iyo shule ya majengo anayodai kasoma jina lake halionekan ktk matokeo ya form four ya miaka ya 2009 kurud nyuma

GODLISTEN A MALISA chuo kikuu kasoma udom
GODLISTEN J MALISA wa chadema chuo kikuu kasoma saut

GODLISTEN A MALISA olevel kasoma jk nyerere secondary na alipata division one ya point 16,alevel alisoma sengerema secondary kombi ya pgm akapata division three ya point 13 chuo kikuu akasoma udom

GODLISTEN J MALISA wa chadema kasema kuwa kasoma majengo secondary ambapo jina lake halionekan kwenye matokeo,hajasema kuwa alevel kasoma shule gan kaishia kusema amesoma moshi na chuo kikuu alisoma saut
kwaiyo apo kwa huo mkanganyiko n waz kabisa yule GODLISTEN MALISA wa minaki aliyepata division four ndie huyu kada wa chadema
 
 
Tulia dawa iingie we Kilaza wa CCM.
Manamba wa Lowasa upo!!!!! Wewe ndiye mpumbavu kuliko wote niliowaona, Wewe badala ya kujichikisha kwa taasisi wewe unajishikisha kwa mtu? Wewe huna tofauti na mfugo.
Mimi ndiye ninayeingiza dawa na ninawamudu hawa mifugo ya chadema.
 














nimeyachunguza matokeo ya shule ya majengo secondary yenye usajili namba S485 kuanzia mwaka 2003-2009 sijaliaona jina la godlisten malisa au ulifukuzwa shule kabla ya pepa?
kwann usikubali kwa moyo mweupe kuwa ile divishen four yakule minaki n ya kwako?
wenzio mchana wamekutetea wamesema umesoma jk nyerere secondary sasa hv ww unasema umesoma majengo secondary tumwamin nan?
 














nimeyachunguza matokeo ya shule ya majengo secondary yenye usajili namba S485 kuanzia mwaka 2003-2009 sijaliaona jina la godlisten malisa au ulifukuzwa shule kabla ya pepa?
kwann usikubali kwa moyo mweupe kuwa ile divishen four yakule minaki n ya kwako?
wenzio mchana wamekutetea wamesema umesoma jk nyerere secondary sasa hv ww unasema umesoma majengo secondary tumwamin nan?
 
Usinijumuishe kwenye hilo. Kama unajua mfumo wa elimu huwezi ridhika na majibu mepesi kama haya. Kafeli kafeli acheni kutetea ujinga hapa. Mbona hakuna aliyewahi kuhoji kuhusu Rz1? Ni kwakuwa alipita njia zinazoeleweka kama wengine.
Mwanafunzi husika hajafeli kama unavyosema bali amefaulu kwa daraja la nne lenye pointi 30. Kwanza rekebisha hilo ili nikupime kiwango chako cha uungwana kisha tuendelee kujadili.
 
Reactions: ydn
Hoja hii imejibiwa katika uzi upi, tafadhali nisaidie mkuu Msororo69!
Fuatilia hoja mbalimbali nilizojibu. Pia fuatilia Majibu ya Prof Kitila Mkumbo kwenye kipindi cha Kipima Joto utapata usuli wa udahili wa namna hii.
 
Hivi inawezekana mtu kasoma miaka 4 tena shule nzuri tu ameambulia D IV! sasa form V & VI ataweza kusoma kwa mwaka 1? Labda malaika wamfundishe!
Hilo inaitwa fact!
Mwanafunzi husika hajafeli kama unavyosema bali amefaulu kwa daraja la nne lenye pointi 30. Kwanza rekebisha hilo ili nikupime kiwango chako cha uungwana kisha tuendelee kujadili.
Nakubali nimekosea Mkuu! Daraja alilolipata halimruhusu kujiunga na chuo kikuu kama hatapitia certificate na diploma au kureset. Ila kwa muda aliyomaliza nadhani hesabu hazikai sawa.
 
Hilo inaitwa fact!

Nakubali nimekosea Mkuu! Daraja alilolipata halimruhusu kujiunga na chuo kikuu kama hatapitia certificate na diploma au kureset. Ila kwa muda aliyomaliza nadhani hesabu hazikai sawa.
Kumbe swala hapa ni hesabu? Fuatilia maelezo ya Prof Kitila Mkumbo katika kipindi cha kipima joto ITV utapata usuli wa kudahiliwa wanafunzi wa kidato cha nne ili kujaza pengo la wanafunzi vyuo vikuu.
 
Kumbe swala hapa ni hesabu? Fuatilia maelezo ya Prof Kitila Mkumbo katika kipindi cha kipima joto ITV utapata usuli wa kudahiliwa wanafunzi wa kidato cha nne ili kujaza pengo la wanafunzi vyuo vikuu.
Huwezi ukajustify hilo la Jesca. Mtajaribu sana kutetea ila ukweli unabaki palepale. 2011 umemaliza form 4 matokea yanatoka 2012 ila anaingia mwaka wa tatu chuo kikuu! Mmmmmh
 
Hili suala la Jesca umechimba sana kiasi cha kuonekana una interest vizuri na pengine unasaidia wasio jua
Sasa kwa ufahamu tu wa Kawaida utakuta watoto wote wa viongozi huko CCM wapo hivyo
(1)Angalia watoto wote wa Marais waliopita bila kujali aliyemaliza mda wake hiv karibuni
(2)Watoto wa Mawaziri wakuu
(3)Watoto wa Mabalozi
(4)Watoto wa majaji
Unaweza kuona wengine hata ni mateja sasa usichimbe sana kwa huyo mmoja ambaye tayari wenye akiri wamesha jua wewe angalia hata hao wengine ukiweka orodha ya watoto wote wa viongozi wa CCM utaona afadhali Jesca
Sasa mada hii ya UDOM inatuondoa kwenye masuala mengine mazito kama lile la Lugumi,Escro na wizi mwingine

Hata hivyo ndani ya CCM kuna vita kali ambayo wanatakaisambae kwa jamii zima ili wizi usijulikane bali vita yao ya kusalitiana
Kwa sasa wengine wanang'ang'ania uenyekiti kuogopa kutumbuliwa. Kama ni wezi wache wanyukane wenyewe
Kama ni aibu ya UDOM inarudi kwa hao hao watawala walioko madarakani na waliopita
Tusipoteze mda hapa tuendelee na wizi wa LUGUMI
 
Hivi miaka hiyo ya 2010 na kuendelea matokeo ya form four yalikua yakitoka mwezi gani?
 
Mkuu mtoa mada jina lake si mwanahabari halisi nimejaribu ku Google hili jina silipati kwani alimaliza shule mwaka gani?
 
Vijana wa ccm si ndo wanajitokeza kwenye bunge!
 

Bwana Malisa naona umeamua kumtetea huyo Jesca
Huoni kama kilichotokea kwako kuwepo kina Malisa wawili kinaweza kumtokea hata Jesca John Magufuli wakawepo wawili.
Kama Malisa wamefoji hata Jesca wanaweza kufoji pia.
Hoja yangu ya pili ni hii kwa nini hoja inajengwa bila facts?
Daima utasikia alipaswa kuwa, au kama angesoma kozi fulan basi leo asingekuwa hapo. Tumeona ulipojaribu kuungaunga ulimgusa Prof.Mwandosya akalazimika kufanya MASAHIHISHO. Kama rekodi za O level zimepatika tumeshindwaje kuleta taarifa sahihi alienda wapi baada ya hapo. Namaanisha tuleteeni matokea yake ya advanced Secondary/Chuo(certificate au diploma). Mbona tumeweza kupata shule na matokeo yake ya O level? Tumeweza kupata Simu za Wakuu O level mpaka wa Chuo na ukazianika humu mtandaoni, nadhani kina Kikula walikupa Ridhaa yao.
Kama utaendelea kuleta hoja kwa misingi ya MATHEMATICAL IMBALANCE badala ya FACTS, Mimi nashindwa kukuelewa.
 
Watu wa LIBYA walimuua nani vile?
 
Who is Jesca? What hasshe done?
 
Kwa jinsi unavyomjua raisi wetu na mfumo wa nchi hii unadhani ingekuwa sio mtoto wake kweli pangekalika hapa. Watu wangeshakuwa lock up sasa hivi kwa kumkashifu raisi.
Na hata hili halijaisha mtakuja kusikia kitakachotokea mbeleni huko kama si kufungwa kwa jf basi itakuwa mitandao yote ya kijamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…