Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

Sasa wewe hizi habari unazipata wapi ni mmoja kati hao watu wachache au njia gani u atumia kuzipata hizi taarifa ambazo wanazijua watu wachache?
 
Sasa wewe hizi habari unazipata wapi ni mmoja kati hao watu wachache au njia gani u atumia kuzipata hizi taarifa ambazo wanazijua watu wachache?
Twende taratibu...kwanza unapaswa ujibu unafahamu juu ya hiyo kitu au ...??

Tatizo unakomaaa pale pale kuwa hizi taarifa haziwezi kuwa kweli...

Unabisha wakati hujui kitu....kama unataka kujua kwanini unaifanya akili yako kujiona inajua wakati haijui ..

Hivi leo hii uliamini kama kungekuja kufanyika upasuaji wa ubongo bila mwanadamu kushika kitu mkasi au nyembe??..Wew unakomaaa kujua watu wanajuaje ili hali hutaki kuamini kama elimu hizi zipo...

Ebena eee mabishano mengine naona hayana maana sasa...

Kwanza unapaswa ukubali kuwa hii kitu ipo au haipo theni uone jinsi gani mambo yanaenda...sasa wew unakomaaa kubishi kuwa watu hawawezi pata ili hali hutaki kuifanya akili yako ikawa frexible kupokea mapya...kwa hiyo unahisi huu ulimwengu unaendesha mambo yake katika open end dialogue au...?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana,yani nachouliza sio kwamba nyie mnaoeleza humu mmepata wapi haya maelezo bali hao wanaoeleza hizi habari(iwe kwa njia vitabu au vyovyote vile) wao wanapata wapi hizi taarifa hadi nao wakaja kuzieleza?
Swali Zuri Sana Mkuu, Kuna watu ambao naweza kuwaita ni defectors or whistleblowers kama Illuminati Insider Ronald Bernad (huyu atakupa siri za mambo ya ajabu sana kuhusu behind the scene jinsi benki zinavyo fanya kazi na Illuminati) mcheki hata youtube kama ww ni mvivu wa kusoma vitabu.

Fact no.2 Hizi taarifa wanazipata kutokana na convenants and pacts of secrecy ambazo zinafanyika through initiations kwenye hizi taasisi za siri ambapo kama unavyojua moyo wa binadamu hauwezi kukaa na siri muda mrefu ipo siku utasema tuu kumwambia mtu. Ukiona jambo linaendeshwa kwa siri jua kuna Uovu ndani yake.

Fact no. 3 Hizi habari za Alliens na Satanism zimeongelewa na watu wakubwa viongozi wa Taasisi za juu kama Ted Gunderson Director wa F.BI Marekani hana cha kudanganya. Special Agent Theodore Gunderson alikuwa mkuu wa F.B.I (DIRECTOR) Los Angels 1977 amefanya kazi na watu maaruku kwenye Historia ya ujasusi kama J. Edgar Hoover. Mtu huyu amejitolea kuwaeleza watu ukweli kuhusu dunia ya siri usiyo ijua. Kama huwezi kisoma Ingia You tube Alafu Umwangalie mtu mzito kama yeye taarifa hizi anazipata wapi utapata tu Jibu Mkuu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well said mkuu...



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hili ndio tatizo lako huwa haupendi kupingwa wala kuhojiwa unayoyaeleza,unakuwa mkali mno.

Hata hivyo mie sijasema hizi taarifa ni za uongo wala watu hawawezi kuzipata,mie nimehoji tu kwa kutaka kujua ni vp hizi taarifa watu huzipata basi. Sijaongeza chochote,haijarishi mimi nina mtazamo gani bali ninachouliza anaweza kuuliza yeyote.
 
Unaona sasa mkuu umeeleza vizuri na nimekuelewa,maana mtu anapokuambia hizi taarifa hauwezi kuzipata kwenye vitabu wala google hapo ndipo nikataka kujua haya yanayoelezwa humu yamepatikana wapi?

Kumbe hata youtube naweza kupata taarifa kama hizi za siri.
 

ok...mkuu sijawahi kupinga kitu ambacho sina uhakika nacho ila ni njia gani mtu anayohoji...

Kwanza nianze kukufahamisha kuwa kuna elimu za siri ambazo hutolewa kwa watu wachache juu ya kuendeleza missions hasa jinsi ulimwengu unavyofanya kazi...

Elimu hizi zipo katika level tofauti kulingana na kitengo chako na mazingira uliyonayo..

kila level ya watu ina level ya elimu hii kulingana na mazingira walipo.

kwa mfano mimi nilichokuja kuamini kuwa kuna elimu za siri ni pale nilipapata kuona access juu ya underground tunnels nyingi zilizoko ardhini na zinapita chini ya milima kuunganusha nchi moja na nchi nyingine ,mfano ni huu mji ambao upo underground kwa siri Nchini canada na unaitwa Tunnels of Moose Jaw, (Moose Jaw, Canada)

Hii nimeshuhudia mimi mwenyewe kutokana na mazingira ambayo niliamua kujidhihilisha mimi mwenyewe...ila ukiwauliza wazawa wanakwambia hawafahamu hii kitu au wanajaribu kuelezea ila katika utofauti ambao nchi zao zinakuwa zimeamua kuwamezesha ..

Hii ni miji ambayo ipo underground kwa siri na kuna barabara zipo chini kwa chini mtu anapitia city moja kwenda city nyingine kwa barabara ambazo zipo chini kwa chini..



Hii ni miji ambayo watu wapo chini huko na kinachofanyika huko hakijulikani kwa wengi...

mbaya zaid mkuu ni kwamba wanajeshi wanaotumika kujenga hizo underground tunnel huwa wakimaliza kazi wanawaua ili wasije toa taarifa juu ya kazi iliyokuwa inafanyika huko...hiyo ni njia moja wapo ya kujua kuwa haya mambo yanawekwa katika usiri mkubwa sana..




hiyo ni undergound iliyopo Poland ambayo hata wazawa hawaijui...na inakuwa connected na underground cities zingine kutoka nchi za mbali...

Haya mambo yapo mkuu wala sio kuwa watu wanaamua kuongea kutafuta pupolarity

kinachokuwa kinarushwa kwenye youtube na google ni matokeo ya hao watu kusema ukweli juu ya jambo flani na ndo mana primary source ya kwanza ni hizo published journals pamoja na taarifa nyingine toka kwenye mitandao ya kuhost taarifa ila taarifa zingine ni hizo elimu za siri ambazo zinakuwa ni ngumu kusofikia wa watu wa kawaida kama sisi ila lazima tuamini kuwa these things are there and they occupy a certain range ya ukweli.
 

Attachments

  • Screenshot_20190110-175234~2.jpg
    99.8 KB · Views: 30
Tatizo mkuu sio kwamba hakuna elimu za siri au haya mambo ya siri,ila usahihi wa hizo taarifa zenye kuelezea hayo mambo ya siri ni jambo la kuzingatia.

Mfano wewe unaeleza kuwa Aliens ndio wameumba binaadamu ila mkuu hapo amepinga hili na kueleza maelezo tofauti kidogo na yako kwenye hili suala na wapo wengine wana maelezo tofauti kabisa na nyie kwenye haya mambo ya siri.

Ila mwisho wa siku wote mnaeleza taarifa za siri na ndio maana nasema kuwepo mambo haya ya siri sio tatizo bali usahihi wa hizo taarifa za hayo mambo ya siri ni suala la kuzingatia. Kwa sababu inawezekana kwenye hichi tunachoita taarifa za siri ikawa ndio njia ya watu kuaminishana mambo yasiyo ya kweli kwa faida zao wenyewe.
 
Well said ila kuna kitu kinaitwa kupeana habari kwa ambao wako interested na wala sio kampeni ya kuwaaminisha watu...only for those who are interested kujua.

Sio kila mtu anaweza kubaliana na taarifa hata mimi kuna baadhi ya mambo mtu akiniambia siwezi kukubali mpaka nipate proof yake...

Inategemea na proof nimeipata katika mazingira gani...

Swala la Aliens kumuengeer binadamu limefanyiwa tafiti nyingi na watu wakaja na proof za kimolecular zaidi sema shida inakuja kwa mtu ambaye hajawa na elimu tosha juu ya molecular analysis kwa hiyo hata kukubaliana na wew inakuwa ngumu sana...

Kwa hiyo utofauti utaendelea kuwepo mpaka mwisho...

Unaweza ukafanya molecular analysis ya DNA katika kucompare Extraterrestrial DNA na DNA ya binadamu kwa macho yako kisha ukatoa maelezo ya ufanano au utofauti bado mtu amabaye hajafanya hivo atakaaa...ni haki yake kukataaa kwa sababu hajafanya mwenyewe...

Kuna mazingira mengi sana ambayo sisi wa level za chini hatuwezi tukakubali kwa sababu bado hatujawa na access ya kutosha juu ya tafiti ambazo zinafanyika kwa siri hasa katika kupata proof ya geneology ya mwanadamu na uwepo wa hao Viumbe ambao wanasemekana kuwa chanzo cha ustaarabu wa mwanadamu katika nyanja zote..
Kwa hiyo research ya mtu mmoja amabyo imekuha na majibu kadhaaa isiwe chanzo cha kukataa yote..
Bali kuhoji katika mamlaka za juu lakini kwa sababu bado tunakuwa bado hatuna access hata ya kuhoji kutokana na access kuwa mbali na sisi ndo mana mambo mengi yanakuwa mbali na sisi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitu kingine kinachotufanya au kuwafanya baadhi ya wataalamu wa kimolecular ni kuwepo kwa technolojia ya kupunguza DNA sequence kwa mwanadamu au kumwegenezea aina mpya wa vinasaba mwanadamu ,ambapo elimu hii inasemekana kutolewa na hao wageni ( Aliens ) toka Anga za mbali...

Elimu yote hiyo ya kumtengeneza mwanadamu katika mabadiliko tofauti huku ukichagua ni aina gani ya Vinasaba unataka Binadamu abakiwe navyo ni dhahiki tosha kuwa anayekuelekeza ndo aliyekutengeneza pia...

Imagine sasa hivi unaweza ukamtengeneza mwanadamu mwenyr vinasaba vichache ana akawa anaishi ila hatakuwa na sequence yote ya vinasaba...

sasa jiulize elimu hii mwanadamu anapewa na Watu toka anga za mbali...kama mtu amekuelekeza mpaka namna ya jinsi ulivyotengenezwa basi hata kukutengeneza anajua..
We are nothing broo...

We have to aggree tutabishana san ila ukweli utabaki pale pale...

Human cloning isingekuwa inafanyika kwenye underground laboratories kwa siri hivo...

kuna mambo lazima tukubali mzeee no matter tukakosa proof kiasi gani lakini hiyo ni proof moja ya kuamini hiyo kitu...

Sasa hivi kuna mpango wa kumpandikizia kila mwanadamy hasa anayefikia umri wa kuzaaa ila ukizaaa unazaa kiumbe mwenye aina nyingi za mfumo mwilini...inawezekana kabisa kuzaa mtu ambaye mwili na morphology yote ni mwanadamu ila akawa na brain capacity sawa na ng'ombe ..

Hiyo itakufanya ukose kitu flani tena maishani mwako unabaki tu na umbo la binadamu but mindly una tabia za mnyama...daaah insane..

Its like we are joking but thats how life linaenda kuwa..

Yote hayo nyuma yake kuna mtu anamwelekeza mwanadamu kumodify species kwa jinsi anavyotaka yeye...

If you can disfigure your own DNA ,cant you remold ..??

mamlaka za juu zina uwezo wa kukutengeneza katika morphology wanayoijua wao hence they can engineer us.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Esoteric knowledge... And of any Secret (Unforbidden) knowledge.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wonder Why these so called Alliens wameanza hizi projects hivi soon! Miaka ya Nyuma huko kulikua hamna hizi vitu?! Why zimeanza hvi karibuni?! Human clonings, Hizi Reptilian issues! Why miaka ya 1500 huko hakukua na hao Lizards openly kbsa??! ????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni uongo kwasababu hao "aliens" ni supernatural beings na wanachokifanya ni kutengeneza confusion ambayo inasababisha watu wengi sasa kukataa uwepo wa Mungu...na activities zao in recently decade zimeongezeka kwa sababu muda umebaki mchache, ndo maana miaka 10 iloyopita technology imekuwa kwa kasi ya ajabu. "Now we more connected than any time in history but we are the most disconnected society in history"...yote hii ni kututenganisha na uwepo wa Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kwa nini Mungu anaruhusu haya yatokee
 
Esoteric knowledge... And of any Secret (Unforbidden) knowledge.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu yangu kabla sijakupa list hii nakutahadharisha kuwa unaweza ukaharibu mfumo wako wa fikra juu ya wanadamu au Mungu utakapo soma chochote kati ya vitabu hivi, utaharibu mfumo wako wa maisha pamoja na Imani kwa ujumla.

1. The Secret Teachings of All Ages by Manly P. Hall.

2. The Secret Doctrine By Helena P. Blavatsky.

3. The secret wisdom by Annie Besant, Theosophical Society publishers.

4. Isis Unveiled " The Master Key to the Mysteries of Ancient and Morden Science and Technology, Volume 1&2

Nafkiri itakuchukua mwaka mzima kusoma hivi vitabu mpaka uvimalize.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana mkuu...ila muache ahangaike nayo kwanza hiyo naamini ataanza kuona hisia tofauti na mazingira mengi atayaona kama sio rafiki tena but akizoea atajiona hero kinyama...ukweli ndo huo...kuna sehemu ataona kabisa illusion inabadilika na kuwa reality....
he will be able to view things in two planes of dimensions..

Ndo atajua kuwa mambo yote anayoyaona ni Ilusion 100% hakuna reality hapo na hapo ndo atajua kuwa kumbe kuna maisha nyuma ya pazia na faida yake ataijua pia...



Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkuu Kama una soft copy ya hivi vitabu naomba uviweke ili tupate maarifa zaid
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…