Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 12,273
- 6,435
Sasa wewe hizi habari unazipata wapi ni mmoja kati hao watu wachache au njia gani u atumia kuzipata hizi taarifa ambazo wanazijua watu wachache?Mkuu labda nikuombe kitu kimoja...
Hii dunia au huu ulimwengu una mambo mengi sana ...
Tena mengi mno na mengi yanawwza kukufanya ukaloose sense of perfection kabsa kwa sababu ni mengi sana na yanatolewa katika phase ambazp ni incomplete ndo mana mtu anakuwa haelewi mwisho wake..
Kuna Esoteric teachings hizi haziwekwi kwenye vitabu kama hivyo vinavyozagaa uchocholoni( google) kama ambavyo wengi tumekuwa tukikimbilia huko.
Esoteric knowlege hutolewa kwa watu wachache tena beneficial ones na hawa pengine huweza kuwadokeza ndugu zao wa karibu ambao wanatamani wasiingie kwenye illusion ilijazwa kwao huku reality ikiendelea kuwa paradoxy kwa wengi..
These teachings are there and you must believe..
Sent using Jamii Forums mobile app