Satan
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 2,064
- 3,329
, ohoo...saf mkuu...lakini kabla hujahitimisha kuwa ipo siku tutawafikia tu,basi jaribu kudadis source ya technlolojia yako kabla hujasema utakuja kuwazidi wakati wao wanakupa maarifa juu ya mambo hayo...
Au hapo pamekaaje mkuu.??
Ni kweli, lakini lakini sayansi yetu inakuwa sana na nina imani tutafika tu
Watu wa zamani walikuwa wameganda kimawazo! Akili za binadamu zimeanza kuamka kwa kasi miaka ya 1800s. Hebu angalia hawa watoto wakifanya mambo! Sasa hawa wana tofauti gani na Calculator!?
alien ni msamiati wa kipropaganda na fiction za kisayansi tu! Hakuna kitu halisi cha hivyo na hamna uthibitisho zaidi ya hadithi za kisayansi.