Project yako ilikua ipi ulipokuwa chuo?

Project yako ilikua ipi ulipokuwa chuo?

me1

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2015
Posts
367
Reaction score
422
Habari wanajamvi,tujikumbushe kidogo maswala ya final year PROJECT

Wewe tittle yako ilikua ipi? Ulikutwa na changamoto zipi? Vipi presentation ilikuaje?

Haya twende tujikumbushe......

(Hii ni kwa wale ambao fani zao zinakuwa na project pia)
 
Phytochemical studies of medicinal plant used by local people in Mumbai
 
Quality comparison between burnt and unburnt aggregates at nsalaga quary in mbeya city
 
AN EFFICIENCY CRYPTOGRAPHY SECURITY FOR DNA SYSTEM.
Hiyo ni system iliyoweza kutuma na kupokea msg kwa computer zilizounganishwa katka network LAN.. na msg hiyo ikawa encrypted yan inafichwa maana.. mpaka muhusika aliyelengwa aingize secret code au private key.. hapo ataweza kudecrypt na kusoma ujumbe.
 
I am curious kujua ulitumia encryption algorithm ipi? Alafu kwa nini ulifanya LAN peke yake na sio kuexpose to the entire world wide web?
 
Watu mbona mnaandika tu tittle halafu hamtolei maelezo.Mfanye hata mtu ambae si wataaluma yako aelewe kuanzia problem
 
Assessment On Contributions Of Large Scale Farmers To Peasants. A Case Of Konoko , Bangui. Eee Bhana Siku Ya Kuwasilisha Si Ndo Antibalaka Wakavamia.
 
Ahahaha ikawaje sasa mkuu
 
AN EFFICIENCY CRYPTOGRAPHY SECURITY FOR DNA SYSTEM.
Hiyo ni system iliyoweza kutuma na kupokea msg kwa computer zilizounganishwa katka network LAN.. na msg hiyo ikawa encrypted yan inafichwa maana.. mpaka muhusika aliyelengwa aingize secret code au private key.. hapo ataweza kudecrypt na kusoma ujumbe.
Interesting
 
Effect of poliomyelitis in Tanzania and challenges in Rehabilitation of patients
 
I am curious kujua ulitumia encryption algorithm ipi? Alafu kwa nini ulifanya LAN peke yake na sio kuexpose to the entire world wide web?

nilitumia Advanced encryption standard algorithm.. niliamua kutumia LAN sababu ya mda ulikua mchache. kwan kuimplement kwa wireless ni complex sana.
 
Phytochemicals investigation of nauraotanenia mitis
 
Back
Top Bottom