Interesting
ahsante me1
Interesting
Idea nzuriAN EFFICIENCY CRYPTOGRAPHY SECURITY FOR DNA SYSTEM.
Hiyo ni system iliyoweza kutuma na kupokea msg kwa computer zilizounganishwa katka network LAN.. na msg hiyo ikawa encrypted yan inafichwa maana.. mpaka muhusika aliyelengwa aingize secret code au private key.. hapo ataweza kudecrypt na kusoma ujumbe.
nilitumia Advanced encryption standard algorithm.. niliamua kutumia LAN sababu ya mda ulikua mchache. kwan kuimplement kwa wireless ni complex sana.
Ningeandika title but inaREVEAL identity yangu.
So far so good it was the best project of the year!
Yaani siku waseme wanasaka watu wanaofanya online pirating, wataanza na wewe, Hehehe kat.ph hiyo si link ya kickasstorrents.
Nilipoongelea WWW sikumaanisha wireless network, i simply meant mawasiliano via the web,
Kwa jinsi ambavyo maneno yako yanapishana i doubt u did it.. Alafu still why would that even be a final project? I mean the AES algorithm is already out there, ni kuencrypt tu na kupass data then inagive output unaituma to the other person, hicho ni kitu ambacho kinachukua dakika tano ku-setup, kwa nini iwe kama full project?
Traffic detector? How? Yan inadetect uwepo wa askar barabarani,uwepo wa folen au kitu gani
issue sio kusetup wireless network issue ni code za kuwezesha computer zionane kupitia wireless network.. LAN tu imenichukua 1 year na LAN sio complex kama wireless.. maana nilitunia IP address kudetect 1 conputer to another, ni rahic kudect Ip address kwenye LAN kulico wireless connection.. so code za kudetect Ip address na kuweza kumap na user kwa wireless na kuweza kushare msg ndo pasua kichwa.
nashukuru kwa idea yako ni nzuri.. lakin nilishajaribu hiyo ya TCP IP ikawa inadetect but haimap to user name kwaiyo ukituma msg kwa destnation haimfikii, mpaka atumie same pc, ninaposema nilitumia mwaka.. hapo ni plus masomo mengine nikimaanisha kwamba.. kwa chuo chetu mwaka wa mwisho una masomo ma 4 ikiwemo project.. so I had to deal with other subject also.. ili kuepuka sup.. af ulewe kitu si kwamba kuimplement kwa wireless haiwezekan.. inawezekana but ni issue ya time.. but c kwa njiayakoHehehehe! haya Mr Smart, kama kweli ilikuchukua mwaka inabidi umuombe moderator akubadilishie username.
Kuweza kudetect ip addresses ambazo ziko kwenye LAN network sio rocket science, ni kuangalia gateway au ip ya mashine unayotumia na kuping ip-addresses zote zilizoko kwenye range mfano kama ni gateway ni 192.168.1.1 una-ping 192.168.1.1~192.168.1.255 au hadi 255.255, brute force ambayo ni very quick coz namba ni chache, itakupatia list nzima ya ip addresses zote ambazo zipo connected, with that unaweza kuretrieve any info you want.
Hiyo ni code ambayo ingemchukua mtu yeyote yule muda mfupi sana kuandika... Kutuma messages via LAN ni kusetup tu TCP/IP connection tu between the machines, na yenyewe ni the same protocol ambayo inatumika hata kwenye www, the only difference ni kwamba kwenye web local ip address inakua exposed throughout the entire internet huku kwenye LAN ip addresses zinabaki private, ni kitu very straight forward siamini kinawezaje kumchukua mtu mwaka, unless uniambie huo mwaka unamaanisha toka unaanza kusoma from zero experience hadi kufikia hatua ya kuimplement. Yaani ndio maana nimeanza ku-doubt kama unatuambia ukweli ama unatudanganya.