Project ya UDART imeshakufa

Project ya UDART imeshakufa

Shithole management. Yuko mhaya pale kwa menejiment ananuka mdomo kama papuchi huku kampuni inakufa. No kujiongeza. Eti wameenda mahakamani wasiletewe mpinzani. Shit
Nitaidharau saana serikali wasipoleta mpinzani wao...yaani huduma imekuwa mbovu saana..its simple udart apewe mlango mmoja na mpinzani wake apewe mwingine..tatizo la kukaa kituoni dakika 20 au nusu saa ni ujinga mkubwa

Wakiwa wawili watoa huduma..itakuwa ahueni kwa raia
 
Kuna siku walitangaza kwa mbwembwe kuwa kuna mabasi mengine 70 yapo bandarini ambayo ni bora zaidi ya haya yaliyopo.

Bila shaka yatakuwa yameblokiwa na makontena ya makinikia ndio maana hadi sasa hayajaingia mzigoni.

Huu mradi angepewa tu Hamufurei Mwendo wa Taratibu auratibu kizalendo
 
Umenena vema, na kikubwa kitakachowaua mapema ni kuondolewa washindani!
Watashindwa kbs kuwa wabunifu, Wateja tunashuhudia Huduma mbovu kbs na ni vile tu hatujui ndani kuna nn,
1: Yale magari wanayotumia yanatumia diesel kiasi gani kwa km 1!?
2: kiasi cha diesel kinachotumika na Pesa inayopatikana vinawiana!? MF: daladala LA kawaida likitumia Mafuta ya 120,000 huwa jumla linategemewa limeingiza around 350,000. Ambapo mwenyenalo anapata around 140, au 150,000. Kinachobaki ni posho ya dereva na konda, hii ni kwa Eicher na Tata za milango miwili.
3: na huenda wamepigwa kwa kupewa injini zenye matumizi makubwa ya Mafuta tofauti na kinachopatikana.

Eti usiku hakuna usafiri, sijui watz hawatakiwi kufanya kazi usiku!!
tuchukulie lita 1 ni kilometa 4! lile lori kubwavla UDA linabeba watu 200! 650 x 200 ni 130,000! na kw km 15 katumia lita 4 haifiki elfu 10!

haya tufanye anapata faida elfu 50 kwa kila safari! je anafanya safari ngapi kwa cku! uroho ndo unaua kampuni! usishangae kina KISENA wanatumia 5M kwa siku kula bata! ndo mana wanashindwa kuendesha
 
Wakati wanapewa uendeshaji wa mradi, walikuwa na sifa na uwezo wa kuendesha huu mradi? Nakumbuka kma kulikuwa na malalamiko ya jinsi UDA ilivyokabidhiwa kwa mwekezaji ambaye hatimaye anapewa kuendesha na mwendo kasi.

Kuna weza kuwa na sababu nyingi za kushindwa kwa mradi ila iliyowazi ni uwezo wa chini wa manejimenti ya UDART. Mimi mpaka leo sijaelewa, pamoja na kutangazwa kwa hali ya mvua na kujulikana kabisa kuwa jangwani panajaa maji, ilitokea nini mpaka mabasi 29 yakaharibika kwa sababu ya maji? Ni hii ni baada ya yale 7 ya mwanzo. Hapana, hapa kuna tatizo kubwa na uongozi.
 
Kwa hulka ya mtu mweusi hasa mtanzania, kitendo cha kuondoa tu zile daladala, ilikua kosa kubwa sana. Zilipaswa ziachwe wapambane, ki biashara, hakika huduma ingekua poa kote kote.

Sielewi mnaposema dala dala zimeondolewa.

Huwezi kutoka Kariakoo mpaka Muhimbili kwa daladala?

Hakuna daladala Gerezani mpaka Kimara?

Morrocco mpaka Kivukoni hufiki kwa daladala?
 
Sielewi mnaposema dala dala zimeondolewa.

Huwezi kutoka Kariakoo mpaka Muhimbili kwa daladala?

Hakuna daladala Gerezani mpaka Kimara?

Morrocco mpaka Kivukoni hufiki kwa daladala?
kivukoni- kimara, kimara- posta, posta- simu2000,
 
Sielewi mnaposema dala dala zimeondolewa.

Huwezi kutoka Kariakoo mpaka Muhimbili kwa daladala?

Hakuna daladala Gerezani mpaka Kimara?

Morrocco mpaka Kivukoni hufiki kwa daladala?
unaishi Dar kweli wewe???

Ushaona kuna Daladala ya Gerezani Kimara siku hizi au Posta Mbezi??

zote hizi walizitoa ili kuwanufaisha hawa Udart lakini wapi wanashindwa kubebeka!!
 
Kwani bado wapo...hao..mi naona kama kama kivuli

Mambo ya Wasu....ku.....ma

Huwa ni majingambo
Majidai
Maguvu
Mbwebwe
Kujazana sebureni kwa wajomba

Kupangamipango bar tena kwa sauti kubwa mpaka meza ya nane wawasikie...

Walianzia...kwenye mabar kutangaza ufalme na enzi ni yao

Watavuna watakavyo

Kwetu...kule ziwani...

Wakwe zetu hao
Niliwahi oa kwao
Nina vidume vyangu 3 pale
Geita....

Nafahamu
Hawanaga neno
Ni wakushindwa siku zote

Nguvu kubwa Akili kidogo

Msimamo mkali...
Itikadi...kali

Ila ka

Wnaumbuka sasa....

Dili zote zinaanza kuanguka kimendemende

Tatizo katiba
Yetu
Ina mambo mengi ya kisiasa
Kuliko ya Kisayansi

Tayariiiiiiiiii

Wnashindwa kuongoza vidaladala
Wataweza midege
Mitren
Mimel
Naona anguko

Kubwa

Eti miviwanda

Naona kushindwa kwa kasi

Upendeleo
Huzaa mizoga
Mizoga huzaa funza
Funza huza mbolea

Tumefika point of no returne

Meli imetobokea katikati ya
Kina kilrefu nungwi na
Haina maboya

Naoza chongo
Baharia wazimu....

Si kulaumiana huko...kwa kiwango cha lami

Malaika waje waizime JF yetu

Humu tupo huru sna
Ila nina mashaka na uhuru wetu....kuingiliwa soon na wanaotusaka..

Lakini mimi pia mlizi na mwindaji mwenzao

Tutakamatana....

Ukinitoa meno
Nang'oa gia zao za kupandia mitungi .....

Giza nene
Kumiliki biashara na wakati wewe si wa ukooo ule...lazima utajuta

Wale wa ukoo ule si unawaona wanavyovurunda na kupewa mafasi zaidi....

Tapeli
Kapewa mradi mkubwa
Atawezea wapi?

Tapeli

Kapewa kitu cha kitaleli...UDA yenyewe ilikuwa ni fungu la kitapeli

Shilamoooni wakwe..
 
Naiangalia project ya UDART kwa jicho la tatu naona inakufa. Pamoja na support kubwa ya Serikali bado hawa jamaa (management ) wameshindwa kujiongeza kabisaa.

Imagine if were you unaondolewa washindani wako katika biashara unabaki peke yako harafu unashindwa kufanya huduma unategemea nini?

Wateja ( pamoja na mimi) wanalalamika kukaa muda mrefu vituoni lakini utawala hauna ufumbuzi.

Wametoa namba za customers care hazipokelewi kabisa(nadhani kwenye hili wanamlizisha mheshimiwa kama vile wafanyabiashara wanavyobandika siku ya TRA kuwa yeye analipa kodi while not)

Hawa jamaa hawajui;
1.Muda gani ni peak/rush hours magari yawepo barabarani
2.Madereva kuanza kazi muda tofauti tofauti kutasaidia kumaliza kazi muda tofauti
3.Hawapo systematic katika kuyaondoa magari kwenye main port zao yanaweza yakaongozana magari hadi sita yanayoelekea upande mmoja
4.Overtime, motisha nahisi kwao wanaogopa kufanya.

Nimeona nchi za wengine walioanza kufanya hizi projects kwenye miji yao mikubwa;
1.Magari yanafanya kazi masaa 24/7 ila yanapungua barabarani jinsi muda unavyozidi kuyoyoma na siku za weekends
2.Sio lazima magari yote yaanzie mwanzo kupakia abiria kunakuwa na mawasiliano kati ya head office/port na vituoni kuangalia wingi wa abiria na kutuma gari
3.Dereva anaye fanya vizuri mfano kuwahi, attendance, ukarimu/costomer care anakuwa rewarded
I prefer bus stage rather than port.
 
Kwa mtaji huohuo Na vitendea kazi hivyo hivyo akiletwa CEO Mkenya UDART itakuwa imara. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, sisi tuna laana ya kutokuwa serious.
Kila jambo tunaloanzisha Lina mwisho mbaya kwa sababu ya laana ya mwenge.
Isaya : Mlango 50

11 Tazama, ninyi nyote mwashao moto, mjifungiao hiyo mienge; endeni ninyi katika mwali wa moto wenu, na katikati ya mienge mliyoiwasha. Mtayapata haya kwa mkono wangu; mtalala kwa huzuni.
Kulala kwa huzuni maana yake hamtafanikiwa.
 
Tunalipa pesa alafu wanatufanyia kama kutupa hisani
Kwanini hao Sumatra huu mradi hauwahusu kusimamia? Na je sisi abiria malalamiko yetu tuyapeleke wapi? Mbona kwenye chaguzi utasikia watanzania flani wamefungua kesi kupinga ushindi Wa mgombea flani je kwenye hili kwanini wasiende mahakaman kudai haki?
Ni hayo tu
 
Binafsi naombea wafe tu au wafilisike maana nahisi kilio chetu kama kinaangukia kwenye masikio ya kiziwi sasa ili iwe win win tukose sote,yani tunaoteseka na wanaotutesa natamani ije mvua kama ya NUHU tukayaokote Agha Khan kule madude yao.
 
Naiangalia project ya UDART kwa jicho la tatu naona inakufa. Pamoja na support kubwa ya Serikali bado hawa jamaa (management ) wameshindwa kujiongeza kabisaa.

Imagine if were you unaondolewa washindani wako katika biashara unabaki peke yako harafu unashindwa kufanya huduma unategemea nini?

Wateja ( pamoja na mimi) wanalalamika kukaa muda mrefu vituoni lakini utawala hauna ufumbuzi.

Wametoa namba za customers care hazipokelewi kabisa(nadhani kwenye hili wanamlizisha mheshimiwa kama vile wafanyabiashara wanavyobandika siku ya TRA kuwa yeye analipa kodi while not)

Hawa jamaa hawajui;
1.Muda gani ni peak/rush hours magari yawepo barabarani
2.Madereva kuanza kazi muda tofauti tofauti kutasaidia kumaliza kazi muda tofauti
3.Hawapo systematic katika kuyaondoa magari kwenye main port zao yanaweza yakaongozana magari hadi sita yanayoelekea upande mmoja
4.Overtime, motisha nahisi kwao wanaogopa kufanya.

Nimeona nchi za wengine walioanza kufanya hizi projects kwenye miji yao mikubwa;
1.Magari yanafanya kazi masaa 24/7 ila yanapungua barabarani jinsi muda unavyozidi kuyoyoma na siku za weekends
2.Sio lazima magari yote yaanzie mwanzo kupakia abiria kunakuwa na mawasiliano kati ya head office/port na vituoni kuangalia wingi wa abiria na kutuma gari
3.Dereva anaye fanya vizuri mfano kuwahi, attendance, ukarimu/costomer care anakuwa rewarded
Chadema wameshindwa kabisa kuusimamia huu mradi katika jiji wanaloliongoza!
 
Itakufa tu kama UDA!
Na pia eti hawataki ushindani! Wameenda mahakamani!
Sishangai wawekezaji kupenda kuendesha makampuni yao wenyewe, sisi tuna laana...
Blah blah nyingi mno, kujisifia kutwa kwamba tuna Masters na Phd, ila tukipewa majukumu kama hayo ni "O"..
 
Washafilisika siku nyingi madeni yamewazidi hawana pesa hata ya gas, kinachopatikana kinadakwa na wadai chao. Hawafiki popote hao
 
Back
Top Bottom