Kanda pendwa..Hivi wa tz hawa wanaosimamia kampuni hili niwazalendo kweli?

Hawataki ushindani UDART wameshafungua kesi dhidi ya serikali kumleta muwekezaji mwinginealetwe mbia mwingine period hizi siasa zenu hatutaki we need service and it is not frèe we are paying
Ushindani kibiashara ni jambo lisilo epukika kwa dunia ya sasaKwa hulka ya mtu mweusi hasa mtanzania, kitendo cha kuondoa tu zile daladala, ilikua kosa kubwa sana. Zilipaswa ziachwe wapambane, ki biashara, hakika huduma ingekua poa kote kote.
mkuu miradi mingi serikali inafanya kama huduma kwa wananchi hiyo ya miaka mia ya payaback period isikupe shida hata kidogo.hahahaa hata waliongia mkataba na hii kampuni si wazalendo , serikali inalipwa sh 10M kila siku , wakati huo huo sirikali imeivest shs 300 Bil, kwa hiyo payback period ni miaka mia , sasa siulize je hiyo miundo mbinu itadumu kwa miaka mia ? Wakati hiyo kampuni kila siku wanaingiza zaidi ya shs 100.
Mkuu ukitoka kanda ile we fanya utavyo hakuna wa kukugusa sijui watanzania tumekosa nn Kwa munguHivi wa tz hawa wanaosimamia kampuni hili niwazalendo kweli?
Ukitoka kanda ileHivi wa tz hawa wanaosimamia kampuni hili niwazalendo kweli?
.....vya kuzalisha watoto!!!Sawa. Sisi tupo kwenye viwanda.
leo umenifumbua macho..kumbe Nyerere alituletea laanaKwa mtaji huohuo Na vitendea kazi hivyo hivyo akiletwa CEO Mkenya UDART itakuwa imara. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, sisi tuna laana ya kutokuwa serious.
Kila jambo tunaloanzisha Lina mwisho mbaya kwa sababu ya laana ya mwenge.
Isaya : Mlango 50
11 Tazama, ninyi nyote mwashao moto, mjifungiao hiyo mienge; endeni ninyi katika mwali wa moto wenu, na katikati ya mienge mliyoiwasha. Mtayapata haya kwa mkono wangu; mtalala kwa huzuni.
Kulala kwa huzuni maana yake hamtafanikiwa.
Taifa la wajinga mnatakiwa kuburuzwa tuu hakuna namnaNaiangalia project ya UDART kwa jicho la tatu naona inakufa. Pamoja na support kubwa ya Serikali bado hawa jamaa (management ) wameshindwa kujiongeza kabisaa.
Imagine if were you unaondolewa washindani wako katika biashara unabaki peke yako harafu unashindwa kufanya huduma unategemea nini?
Wateja ( pamoja na mimi) wanalalamika kukaa muda mrefu vituoni lakini utawala hauna ufumbuzi.
Wametoa namba za customers care hazipokelewi kabisa(nadhani kwenye hili wanamlizisha mheshimiwa kama vile wafanyabiashara wanavyobandika siku ya TRA kuwa yeye analipa kodi while not)
Hawa jamaa hawajui;
1.Muda gani ni peak/rush hours magari yawepo barabarani
2.Madereva kuanza kazi muda tofauti tofauti kutasaidia kumaliza kazi muda tofauti
3.Hawapo systematic katika kuyaondoa magari kwenye main port zao yanaweza yakaongozana magari hadi sita yanayoelekea upande mmoja
4.Overtime, motisha nahisi kwao wanaogopa kufanya.
Nimeona nchi za wengine walioanza kufanya hizi projects kwenye miji yao mikubwa;
1.Magari yanafanya kazi masaa 24/7 ila yanapungua barabarani jinsi muda unavyozidi kuyoyoma na siku za weekends
2.Sio lazima magari yote yaanzie mwanzo kupakia abiria kunakuwa na mawasiliano kati ya head office/port na vituoni kuangalia wingi wa abiria na kutuma gari
3.Dereva anaye fanya vizuri mfano kuwahi, attendance, ukarimu/costomer care anakuwa rewarded
Yes. Aliikabidhi nchi kwa mashetani.leo umenifumbua macho..kumbe Nyerere alituletea laana
Umeifanya jpl yangu imekwenda shwarTatizo ile kanda pendwa ni wavurugaji mno
.....vya kuzalisha watoto!!!