Project ya UDART imeshakufa

Project ya UDART imeshakufa

Naiangalia project ya UDART kwa jicho la tatu naona inakufa. Pamoja na support kubwa ya Serikali bado hawa jamaa (management ) wameshindwa kujiongeza kabisaa.

Imagine if were you unaondolewa washindani wako katika biashara unabaki peke yako halafu unashindwa kufanya huduma unategemea nini?

Wateja ( pamoja na mimi) wanalalamika kukaa muda mrefu vituoni lakini utawala hauna ufumbuzi.

Wametoa namba za customer care hazipokelewi kabisa(nadhani kwenye hili wanamridhisha mheshimiwa kama vile wafanyabiashara wanavyobandika siku ya TRA kuwa yeye analipa kodi while not)

Hawa jamaa hawajui;
1. Muda gani ni peak/rush hours magari yawepo barabarani
2. Madereva kuanza kazi muda tofauti tofauti kutasaidia kumaliza kazi muda tofauti
3. Hawapo systematic katika kuyaondoa magari kwenye main port zao yanaweza yakaongozana magari hadi sita yanayoelekea upande mmoja
4. Overtime/motisha nahisi kwao wanaogopa kufanya.

Nimeona nchi za wengine walioanza kufanya hizi projects kwenye miji yao mikubwa;
1. Magari yanafanya kazi masaa 24/7 ila yanapungua barabarani jinsi muda unavyozidi kuyoyoma na siku za weekends
2. Sio lazima magari yote yaanzie mwanzo kupakia abiria kunakuwa na mawasiliano kati ya head office/port na vituoni kuangalia wingi wa abiria na kutuma gari
3. Dereva anayefanya vizuri mfano kuwahi, attendance, ukarimu/costomer care anakuwa rewarded
Nawashauri wakajifunze zaidi ktk jiji la Johannesburg!
 
Naam. Mengine yote ni porojo. Tunachojua ni kuchi kuchi tu!
HIVI hatuna mtanzania/watanzania wazalendo ambao tunaweza watambua halafu ikifika muda wa uchaguzi tukawashinikiza wagombee nafasi nyeti ili waisukume nchi yetu? nadhani hapa mgombea binafsi anahusika
 
Kupakia abiria Mbezi Luis halafu wanashushwa Kimara terminal halafu tena abiria hao hao wanapakiwa tena kuwapeleka mjini.Au abiria wanapakiwa mjini halafu wanashushwa Kimara halafu magari hayo hayo yanawapakia abiria hao hao kuwapeleka Mbezi Luis.Hiki kitendo ni moja ya ukatili uliopitiliza na ni aibu kwa taifa.Shilingi mia nne ( 400 ) zinazokatwa kama nauli ni wizi mtupu
lakini hivi ndio vitu vya msingi saana kwa wakazi wa Dar. sasa how come wala hatujigeuzi kudai hii haki?
 
Useless people. Kila siku kulalamika tu. Hakuna kujiongoza kama watu wazima. Miundo mbinu mnayo sasa kelele za nini? Yaani watu wa Dar ni shida ya karne.
 
Naiangalia project ya UDART kwa jicho la tatu naona inakufa. Pamoja na support kubwa ya Serikali bado hawa jamaa (management ) wameshindwa kujiongeza kabisaa.

Imagine if were you unaondolewa washindani wako katika biashara unabaki peke yako halafu unashindwa kufanya huduma unategemea nini?

Wateja ( pamoja na mimi) wanalalamika kukaa muda mrefu vituoni lakini utawala hauna ufumbuzi.

Wametoa namba za customer care hazipokelewi kabisa(nadhani kwenye hili wanamridhisha mheshimiwa kama vile wafanyabiashara wanavyobandika siku ya TRA kuwa yeye analipa kodi while not)

Hawa jamaa hawajui;
1. Muda gani ni peak/rush hours magari yawepo barabarani
2. Madereva kuanza kazi muda tofauti tofauti kutasaidia kumaliza kazi muda tofauti
3. Hawapo systematic katika kuyaondoa magari kwenye main port zao yanaweza yakaongozana magari hadi sita yanayoelekea upande mmoja
4. Overtime/motisha nahisi kwao wanaogopa kufanya.

Nimeona nchi za wengine walioanza kufanya hizi projects kwenye miji yao mikubwa;
1. Magari yanafanya kazi masaa 24/7 ila yanapungua barabarani jinsi muda unavyozidi kuyoyoma na siku za weekends
2. Sio lazima magari yote yaanzie mwanzo kupakia abiria kunakuwa na mawasiliano kati ya head office/port na vituoni kuangalia wingi wa abiria na kutuma gari
3. Dereva anayefanya vizuri mfano kuwahi, attendance, ukarimu/costomer care anakuwa rewarded
nasikia wameishitaki serikali kwa kutaka kuleta mwekezaji mpya.
 
Yan pamoja na kuondolewa washindani wao ambao ni daladala bado kampuni inakufa taratibu,management inabidi ijitafakari upya ili kuondoa kero zilizopo.
Na bado tunalalamika kwa nn vidacom wameamua kumleta CEO wa kigeni. Tatizo la utanzania kwenye utawala ni ujanja ujanja kuliko weledi.
 
Na bado tunalalamika kwa nn vidacom wameamua kumleta CEO wa kigeni. Tatizo la utanzania kwenye utawala ni ujanja ujanja kuliko weledi.
Vipi hata nchi yaani nafasi ya urais tukampa mgeni? maana naona longolongo tu
 
Ngoja tumalizie viwanda kwanza tutarudi
 
Za jioni.
Napenda niseme wazi kabisa leo uvumilivu umenishinda, udart mmechemka huu mradi. Tunasubiri basi vituoni zaidi ya saa moja.
Ni kero.
 
Hawa watani zangu wamejazana pale lakini bure kabisa hawana hata ubunifu kidogo.Kilichokuwa kinanafanywa na madaladala(kutega mingo)nao wanatega eti
 
Una leta UDART unaondoa daladala kwenye hizo route kupunguza upinzani, unaleta elimu bure unapiga marufuku michango mashuleni, unawabomolea watu nyumba jangwani kuepuka madhara ya mafuriko kituo cha UDART unajenga katikati ya jangwani....hapo ndio inaponichosha hii serikali ya wanyonge
 
Back
Top Bottom