Wakuu nimeomba hii bachelor ni vp inasoko hapa bongo au nijiandae kutia vyet limination nzito ili visiharibike...pamoja na monka saf ya kutembelea kila wizara bila ya mafanikio?
hiyo kozi inasoko tena Maendeleo ya jamii na kwenye NGOs Mimi naisoma udom hadi sasa nakula bata Tasaf kipindi hiki cha likizo na UN's wanatoa nafasi za kaxi sana kwetu Kigoma huku
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.