Project: Acoustic Kitty

May 6, 2012
80
82
Acoustic_Kitty.jpg Project Acoustic Kitty ilianzishwa na CIA miaka ya 1960 kwa dhumuni la ku spy kwenye Soviet embassies. CIA iliwachukua paka ikawafanyia operesheni wakawafunga electronic listening devices kwa ndani kisha wakawa trained na mission ya kuspy. Plan ilikuwa ni kuwapeleka hawa paka kwenye balozi za Urusi, ili kusikiliza maongezi. Maongezi yanayonaswa na paka yanadakwa kwa kutumia radio signals, kunakuwa na CIA agents kwenye mazingira ya karibu, kwenye Van na mitambo ya kunasa radio signals.

Unfortunately, hii project haikuwa successful, paka wa kwanza kutumwa aligongwa na Taxi, na CIA ililose zaidi ya 20 million dollars. Project ilifungwa.

Israel nao wamekuwa wakiwatumia wanyama kwenye intellijensia yao. Na, ni majuzi Turkey walikuwa wanalalamika wanakuwa spied na Israel kwa kutumia hawa ndege wanyama.


a5.jpg a1.jpg


Observation: Kama wamarekani walikuwa na teknolojia hii miaka ya 1960, you can imagine watakuwa wame advance kwa kiasi gani kwenye mambo kama haya. Lakini, what is our status Tanzania? Do we have such projects going on in our intelligence? Wale panya wa SUA nadhani kama wameweza kuwatrain kutegua mabomu, then wanaweza kuwatrain kwenye project za kiintelijensia kama hizi.


References:​


:A S-coffee:
 
Back
Top Bottom