stineriga
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 2,172
- 892
hujui ulisemalo, we unazan wasanii wanaolalamika kushuka kwa bei ni wajinga? wanajua muhindi atapata sababu ya kushusha dau la kununua kazi zao, so kama msanii alipaswa alipwe mil 50 kwa filamu 1 unaweza kuta analipwa mil 20
wewe ndio hujui ulisemalo.
wasanii wapo kwenye makundi mawili;-
1 waliopo steps na wanaotegemea kuuza movie zao steps, yani wameshindwa kujua wanaibiwa na steps. wanauza hati miliki zao na pesa wanapewakidogo lakini wao wanaona zinawatosha.
2 wasanii waliojitoa steps, wameamua kuuza kazi zao wenyewe baadaye akuona wanapewa pesa kidogo na steps na upokwa hakimiliki ya kazi zao na steps baaday kumuuzia.
wasanii wanaolalamika steps kushusha bei ni wapi?
wasanii wanaolalamika ni wale walioamua kuuza kazi zao wenyewe. wanasema steps ni kama ameamua kuwakomoa kwa kushusha bei ya cds, sababu steps ana uwanja mpana hata kama cd zikishushwa bado watauza na kupata faida, lakini wao uwanja wao ni finyu kuanzia kwa usambazaji!
akina zamaradi na wengine walilipinga sana la kushusha bei ya cds lakini wasanii fulani walivyomshambulia zamaradi ungeshangaa wana maslahi gani na kushuhswa bei ya cds au wana maslahi gani na steps, wakati ni ukweli iatabid kweli steps awakandamize zaid badala ya kuwapa mln 50 atawapa mln 20.