Proin Promotion kuimeza Steps Entertainment

father-xmas

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2010
Posts
982
Reaction score
1,127
Wasanii wetu wa bongo movie wamekua na majina makubwa huku wengi wao wakiwa na hali mbaya kiuchumi.Wengi wamekua wakiitupia lawama kampuni ya muhindi ya Steps kuwa ndio inayowanyonya wasanii.Msanii Batuli alikiri kuwa filamu hazilipi,na ili msanii aweze kijikimu inabidi kutafuta pedeshee la kumuweka mjini.Wasanii wa kiume kama Dr Cheni wako vizuri kiuchumi kwa sababu wanajituma kufanya shughuli nyingine nje ya uigizaji.

Sasa hivi kuna hii kampuni mpya iliyotoa filamu ya Lulu ya Folish age iitwayo Proin.Hawa jamaa wanaonekana kwa kila namna wana lengo la kuimeza Steps.Mpaka dakika hii tayari imeshasaini mikataba na wasanii wakubwa wa filamu akiwamo Lulu na Steve Nyerere na wengine wengi.

Ni vizuri Steps akapata mpinzani,maana upinzani unaweza kuwasaidia vijana waliojikita katika sanaa.Ni vyema wasanii wetu wakafaidi matunda ya vipaji nyao.Inasikitisha kuona dada zetu wakiuza miili yao kwa wazee wa rika la baba zao ilimradi wajikimu na maisha wakati wana majina na vipaji vinavyoweza kuwapa maisha mazuri.

Nimefurahi kuona Proin wakileta upinzani kwa STEPS lakini hofu yangu ni je hawa PROIN wana nia ya kuwakomboa wasanii wetu au lengo lao ni kuendeleza unyonyaji.

Wasanii kwa vile PROIN bado ni changa na inawanyenyekea ili muende upande wao ningewashauri na nyie kutumia hii fursa kuonesha thamani yenu katika kusaini mikataba itakayowanufaisha.
 
Dada zetu umalaya tu na kupenda vya bure, wala sio sanaa hailipi, mbona akina Odama,nisha, wastar na wengine wanaendesha maisha kwa ajil ya uigizaj ....hao wamezoea kuviuza tu
 
Okay okay nimekupata kiongozi.
Vipi unadhani Proin watakua bora zaidi ya Steps..Nipe mtizamo wako
 
Proin wamekuja kwa nia ya kuwashika dada zetu! Kwani hamjui Lulu anatembea na Johnson the CEO of Proin?? Yani hawa wahaya wamekuja kuvua chupi tuu hamna lolote
 
Na hivi dada zetu wa bongo muvi chu.pi zao zimelegea lastic jamaa watajivulia kirahisi.
Hatari sana.
 
Watawapata sana hawa wadada wanaopenda miteremko, ndio maana wanajaribu kuwaongezea pesa kidogo kwenye movie zao, sasa wewe fikiria ile movie ya Foolish Age ni movie ya kupromote kweli? Jamaa ka lose so much money na ile movie ili mradi tu amfurahishe Lulu
 
Mimi sijabahatika kuiona ile nimeona watu wameiponda sana hapa.
Ila inata uchungu aisee binti kama Lulu hata 20 hajafikisha kwenda kungololoka na mzee kama yule aisee na hawa mama zao wanachekelea kabisa maskini ya Mungu.
Bora Lulu angetoka na yule meneja masoko ingekua afadhali kiumri.
 
Watawapata sana hawa wadada wanaopenda miteremko, ndio maana wanajaribu kuwaongezea pesa kidogo kwenye movie zao, sasa wewe fikiria ile movie ya Foolish Age ni movie ya kupromote kweli? Jamaa ka lose so much money na ile movie ili mradi tu amfurahishe Lulu

Jamaa wa proin wanaangalia pesa hawana haja na puchi za wasanii wa bongo movie wanalipa vizuri sana ila kwa installment ili kuweza kuwa manage wasanii wao wasifulie kwa steps mtu unapeleka movie baada ya six month ndo unaeza kupewa hela yako tena robo robo...
 
Hii itasaidia sana wasanii..Bravo PROINS..Unajua vijana wengi waliokata tamaa,wasio na cha kufanya wameingia kwenye sanaa...Kwa maana hiyo hii tasnia ikiboreshwa maisha ya vijana wengi yatabadilika positively..Pia wasanii wengi wanadai pale steps kunanuka rushwa..Utoe rusHwa ndio kazi yako ipitishwe kwa muhindi.
 
Mkuu steps kwanza hawa negotiate na wasanii wa kike, wasanii wa kike walikuwa wanawatumia akina ray, steve nyerere n.k ili movie zao zikubaliwe na steps na wao wanaletewa mpunga
 
Nimeona wimbi kubwa la wasanii wakikimbilia Proin..Mimi natabiri kama Steps wasipobadilika watamezwa na kupotea.
Ila ingepjiendeza wawekezaji wengi zaidi wajitokeze..Kampuni mbili tu za usambazaji sidhani kama zinatosha..Hivi wale wahidi wa pilipili walishakufa au bado wapo?
 
Tuwaunge mkono kwani wanapojitokeza wapinzani wengi ndio msanii atakaponufaika, Ila cha msingi na wasanii nao wacheze vema kwenye upande wao...waje na kazi zinazoeleweka na sio madudu.
 
Back
Top Bottom