Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,388
- 5,791
Mturuki analipwa na TZ na tunamcontrol.To what extent unamcontrol mchina.Mturuki akimaliza atalipwa chake kilichobaki na kusepa wewe mchina anabaki kuchukua Tozo.Wenzenu tulijenga kigamboni bridge kupitia NSSF yes wanakusanya tolls ilipesa ya wastaafu ibaki salama wewe mchina anasepa na Tozo😀😀😀SGR ya Waturuki ndani ya nchi huru ya Tanzania.
Tatizo ni kuwa nyie mnamcontrol Mturuki sana mpaka anashindwa kumaliza mradi. Dar-Moro ilistahili kukamilika November 2019.Mturuki analipwa na TZ na tunamcontrol.To what extent unamcontrol mchina.Mturuki akimaliza atalipwa chake kilichobaki na kusepa wewe mchina anabaki kuchukua Tozo.Wenzenu tulijenga kigamboni bridge kupitia NSSF yes wanakusanya tolls ilipesa ya wastaafu ibaki salama wewe mchina anasepa na Tozo😀😀😀