Programu ya kompyuta ya kutunza kumbukumbu za wateja, bidhaa na n.k.

Programu ya kompyuta ya kutunza kumbukumbu za wateja, bidhaa na n.k.

Tech Max

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2025
Posts
337
Reaction score
308
Je unahitaji programu ya kompyuta (Windows OS 7,8,10,11) ya kutunza kumbukumbu ya bidhaa, wateja na kazi zingine za kumbukumbu. Gharama ya programu hii ni 250,000 Tsh. Unalipia mara moja tu, hakuna malipo baada ya hapo.

Napatikana: Mkoa wa Dar es salaam, Mbezi.

Mawasiliano: 0756704145
 
Demo hamna labda kama unataka tukutane nikuonyeshe inavyofanya kazi, customization ni lugha tu kubadili
Duh! Sasa ikiwa huwezi kutoa hata online session, huoni hapo unaharibu! Je, kwa asie karibu na ulipo wewe, akawa na uhitaji, hawezi kupata! Customization siyo lugha pekee. Inahusu mahitaji ya mteja tofauti na ilivyokuwa develped.
 
Back
Top Bottom