Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,144
- 43,875
Huwezi download toka official site ikakupeleka kwa hacker.Mkuu niliwahi kudowload ya 32 bit ikanielekeza kwa hackers; ngoja nitulie kwanza nitafakari jinsi ya kupata editor isiyokuwa na masharti au longolongo.
Na kama unataka vitu free tumia open source, ipo kdenlive ama blender zote zina edit video.
Ila jiandae kwa learning curve kubwa, inabidi ujipinde haswa.
