Programming Languages you should know so as to Get a job at big companies.

Programming Languages you should know so as to Get a job at big companies.

Ukiwa haupo specific na nini unachotaka kufanya, utajikuta unasoma programming languages zote halafu unajikuta unajua vitu nusu nusu.

Mfano, Mimi binafsi C, Ruby, Swift hazina umuhimu kwangu kwa sasa, ila nikilazimika kuzijua nitajifunza.

Kwa kuwa umetarget mtu kuajiliwa kwenye makampuni analazimika kuzijua hizo lugha zote basi sawa.

Sio mbaya pia ukaweka mifano wa makampuni kwa uwelewa zaidi.
Companies like Google, Microsoft, Facebook etc
 
Wewe upo bongo Mkuu....Nipe hata directions nianzie wapi kutafuta watu wanaofanya hizi mambo maana vyuoni tumesoma vitu vingi vinahusiana na hivyo but at the end of the day havina applications moja kwa moja
Nipo Bongo ndio. Inabidi utafute mwenyewe. Wanafunzi wengi wa siku hizi chai sana. Huwezi kuwa recommend with confidence mpaka uwe na uhakika wana moyo wa kufanya kazi. Wengi wako lesi kutafuta fedha na sio kutafuta kujua na kuaminika!
 
Nipo Bongo ndio. Inabidi utafute mwenyewe. Wanafunzi wengi wa siku hizi chai sana. Huwezi kuwa recommend with confidence mpaka uwe na uhakika wana moyo wa kufanya kazi. Wengi wako lesi kutafuta fedha na sio kutafuta kujua na kuaminika!

Dah....sijakuelewa
 
Unafanyia nn hapa bongo
Most Computer infrastructures zipi implemented in early languages, mfano Linux OS ni C imehusika, Most CAD softwares pia, Mfano SOLIDWOKS imeandikwa na C++, Gharama za kudesign upya ndio kitu hamna kampuni inakubli kutumia pesa nyingi. So unaweza kuziona hazina maana ila ni muhimu sana.
 
Jamani najaribu kujifunza Python, nimefanya download ya Pycharm na pia Python 3.7 ila nikiangalia ninapoifungua naona ni kama imeandikwa 2.7 halafu inaniambia sina System Interpreter, je naweza kutatua vipi hili tatizo?
Nimeamua nianze kujifunza angalau nianze kufanya mwenyewe ninacho maana nimejitahidi kuanza kuwatumia watu lakini gharama wanazonipa sitaweza kuzipata kwa wakati lakini naweza kuanza kujifunza hata kwa miezi 12 na zaidi niweze kuwa huru kuanzisha kitu ili kama nitahitaji msaada basi gharama itapungua na nitajua nafanya nini.
Tusaidiane jamani
Unaweza kujifunza mwenyewe, ukiwa serious miezi mitatu inatosha sana kutoka beginer mpaka advanced, cha msingi kuwa updated, usikomalie programming language peke yake, weka mkazo DATA STRUCTURES na ALGORITHMS, tafuta majukwaa kama stack overflow upate kujamiiana na wengine. NASISITIZA, PROGRAMMING IS ABOUT PASSION NOT JUST BECAUSE YOU WANT TO PROGRAMM.
 
ana maana umeweka 'fedha' mbele, badala ya kuweka passion, kujua na kuaminika
Wanafunzi karibia wote wana infection za hiki kirusi. Inafanya iwe ngumu kum recommend mtu mpaka umjue kwa undani. So inabidi apambane tu. Au atafute mtu anayemfahamu amrecommend mahali.

NB: comment haikuwa specific kwamba ana tatizo kwa sababu personally simjui ila generally ndio iko hivyo...
 
Back
Top Bottom