Programming Crew!

Kwa nini usitumie QT creator kutengeneza C++ GUI ambayo inafanya kazi karibu sawa na visual studio badala ya kutumia IDEs mbili tofauti.

NImekupata Mkuu, Nimeshai-download swala ni configurations....
 
Farmer, nina tatizo kama lako, nataka kufanya hayo mambo ya pattern recognition kwa kutumia NN na SVM kwenye MATLAB may be we can share something.
 
Asante maelezo yako kaka: Kuna Program nimetegeneza ya school Management system nataka kuifanya iwe web base nitumie program gani? vizuri na rahisi ingawa najua hakuna kazi rahisi..
 
Farmer, nina tatizo kama lako, nataka kufanya hayo mambo ya pattern recognition kwa kutumia NN na SVM kwenye MATLAB may be we can share something.

Hakuana shaka, tunaweza ku- share ideas. Kwanza cheki na hii attachment...
 

Attachments

Jamani thiz thread waz vry helpful, why people have stop bringing knowledge here, some of us ni shule kamili, and it has influenced our need and desire kufanya programming..
Come On People..!!!
 


Man if you really do this..
i salute you brother,,,
am still learning c,the good thing i thank god i understand,have not found it as much difficult...
 

Nina maswali kadhaa,
1. Umetuambia tu kuwa hiyo algorithm itaapply kwenye physical land resources and environmental issues. This is too general. Naomba uniambie the problem definition. Yani what problem are you trying to solve? na in what scale (very large/medium/small)

2. Nimeuliza kwa sababu implementations za NN, SVMs and fuzzy logic will greatly influence the programming language you want to pick, naona wewe bado hujadecide on which one, but teari umedecide on the language. For example, training/testing data zinapoongezeka, SVMs become slow and consume very high memory kwa sababu zinatumia quadratic programming, hata NNs zinapata same problems with large increase of data but not as slow as SVMs. Sasa hapa pia inategemea na type of data na variables zako kama ni nyingi au la na to what scale you are planning to apply them.

Pia umesema unataka kudevelope Statistical software based on Bayesian Probability( Bayes Theorem), then use naive bayes, or regression, why jump to SVMs and NNs which are non-probabilistic? pia lazima uangalie kama unadeal na linear or non linear data. Labda kama ulisema bayesian probability to indicate using uncertainity to tackle problems, hapa ntakuelewa.

Kwa hiyo, cha msingi ni kucheki utakuwa unadeal na data aina gani? Then utatumia algorithm (method) gani? sasa baada ya hapo uje kwenye language gani ya kuimplement model yako.

Swali la mwisho, unatumia existing algorithms to meet your need, au unadevelope from scratch?
 
Asante maelezo yako kaka: Kuna Program nimetegeneza ya school Management system nataka kuifanya iwe web base nitumie program gani? vizuri na rahisi ingawa najua hakuna kazi rahisi..
PHP au JSP au ASPX au Python/Django
 


Mkuu umemuuliza una mfundisha hapa maana maswali yako yote yanaonekana kutaka ku mu outsmart labda kwa mtizamo wangu ungekuja na namna ambavyo ungefanya wewe kwa namna bora zaidi kutofautiana na mkuu hapo juu.

Ni Mtizamo tu.
 
Kweli muda unaenda, sijagusa hiyo C++ in years!
Kazi zimenichosha kwenye PC all day, nikirudi nyumbani hata kuiangalia sitaki. Ila nagusa gusa Android na PHP kwa ajili ya backend.
 
Kweli muda unaenda, sijagusa hiyo C++ in years!
Kazi zimenichosha kwenye PC all day, nikirudi nyumbani hata kuiangalia sitaki. Ila nagusa gusa Android na PHP kwa ajili ya backend.
Kwanini umeiacha mkuu??
 
Kwanini umeiacha mkuu??
Sidhani kama kulikuwa na sababu maalumu ila C++ practically inatumika sehemu chache na very specialized, kwenye embedded, OS systems programming, kidogo sana kwenye mobile.

So kama unafanya web front/backend, desktop au mobile mobile development hakuna haja ya C++. Mimi nimejikuta naenda kwenye mobile zaidi.
 
Sawa sawa kiongozi! Je una books nzuri za php? Msaada kama uko navyo mkuu!
 
C++ ni ptogramming language ngumu sana naweza sema kuliko language zotevnilizosoma yaan!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…