Programming: C programming for Micro-controller Part 1

Annael

Annael

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Messages
16,829
Points
2,000
Annael

Annael

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2011
16,829 2,000
Start with C programming

Ndung wana JF ningependa kuanzisha uzi huu kwa lengo la share idea katika kuprogram macrochips. kwa kutumia C na Assembly language.

Ningependa wachangiaji wachikite katika tuoa mifano zaidi hususani kuandika program na lengo lake.

Kwa wale ambao hawajui kuprogram nadhani itakuwa sehemu mojawapo ya kujifunza.

WHY C PROGRAMMING.

C is more low-level and does just exactly what you say. It is more adapted to low-resources environments such as micro-controllers.

C++ as some features which requires additional resources (such as OOP, exception, and so on).

Moreover the micro-controller does not have the same features as your computer's CPU. It could for example not support dynamic library loading and even for static libraries you're limited in size as your chip doesn't have many memory.

M

mtanzania1989

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2010
Messages
2,753
Points
2,000
M

mtanzania1989

JF-Expert Member
Joined May 20, 2010
2,753 2,000
Mkuu Annael , C programming katika micro chip ni pana sana , sababu kila chip kuna baadhi ya code zinabadilika , na hizo code almost ni assembly language , ni vigumu ku discuss generally , labda kama utaje chip mahsusi ndio utapata pa kuanzia .
NB: C programming is only a pre requisite ya Micro-controller programming , kwa hiyo inabidi uchukue hatua zaidi kama unataka kui programme a chip
 
Annael

Annael

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Messages
16,829
Points
2,000
Annael

Annael

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2011
16,829 2,000
Mkuu Annael , C programming katika micro chip ni pana sana , sababu kila chip kuna baadhi ya code zinabadilika , na hizo code almost ni assembly language , ni vigumu ku discuss generally , labda kama utaje chip mahsusi ndio utapata pa kuanzia .
NB: C programming is only a pre requisite ya Micro-controller programming , kwa hiyo inabidi uchukue hatua zaidi kama unataka kui programme a chip
Sawa kabisa mkuu lakini ndio maana nikaandika part one. Just tunaanza na basics halafu tunaenda ndani zaidi.

Tuna badilishana tu ujuzi. Unaweza ukaanza na just simple programming halafu tunaenda ndani zaidi au unaonaje?
 
Forum statistics

Threads 1,294,738
Members 498,025
Posts 31,186,504
Top