hbr wataalam...tangu juz nlipotoka dsm kwenda dodoma laptop yangu inasumbua yaani nkidouble click explorer,mozilla, word,zote hazfunguki yaani hakuna response yoyote...tatizo nn wadau...nme update antivirus hamna kitu, nmezma na kuwasha laptop hali bado...ntashukuru kwa msaada wwnu kutatua changamoto hii