Sijapata muongozo wowote mpaka muda huu!!Ngoja waje kukupa muongozo...
Nipo Ila sijaelewa unachotaka I.e Unataka ushauri ama hii tender jobHabari Wakuu. Naomba niuweke huu Uzi hapa kwa sababu nyuzi nyingi za mrengo wa teknolojia nikiziweka kwenye jukwaa husika hazipati views za kutosha...
Nataka collaboration.Nipo Ila sijaelewa unachotaka I.e Unataka ushauri ama hii tender job
Tutatengeneza pesa pamojaNataka collaboration.
Ok nimekuelewa but kwasasa utapata wachache Wa joint venture hii project yaweza kuchukua miezi 6 na zaidi bcoz inahusiana pesa. I mean devOps na Pen Testing. Wakati huo wote wa karibu mwaka mzima utampa nn programmer wako.Nataka collaboration.
Sawa collaboration lkn andaa pocket yako.Nataka collaboration.
Nakuja mkuuSawa collaboration lkn andaa pocket yako.
Umesema ww sio programmer ila una idea, na huwa ni rahisi kufanya kazi na mtu anaelewa anataka nn. Kama uko tyr njoo inbox tudiscuss bei nikufanyie/tufanye hio project.
Shida ya projects nyingi za blockchain hapa TZ wanaozimiliki hawana uelewa na wanafanya ili mrad kwenda na trend na mwisho wa siku zinakufa.
Nmefanya projects 3 za DeFi ila wamiliki wake hawakuwa serious na hamna yyt inayorun hadi sasa, watu wanadhan tech ni kama fashion so wanafanya kwa mihemko ili kwenda na trend kumbe sio inavyopaswa. Kama uko tofauti na hao nloelezea hapo juu njoo inbox tupeane quotes
Nashukuru mkuu. Uko tayari angalau kunipa trial version halafu tuongee biashara?Sawa collaboration lkn andaa pocket yako.
Umesema ww sio programmer ila una idea, na huwa ni rahisi kufanya kazi na mtu anaelewa anataka nn. Kama uko tyr njoo inbox tudiscuss bei nikufanyie/tufanye hio project.
Shida ya projects nyingi za blockchain hapa TZ wanaozimiliki hawana uelewa na wanafanya ili mrad kwenda na trend na mwisho wa siku zinakufa.
Nmefanya projects 3 za DeFi ila wamiliki wake hawakuwa serious na hamna yyt inayorun hadi sasa, watu wanadhan tech ni kama fashion so wanafanya kwa mihemko ili kwenda na trend kumbe sio inavyopaswa. Kama uko tofauti na hao nloelezea hapo juu njoo inbox tupeane quotes
Kama nlivyosema mwanzo kazi nlizofanya zilikua ideas za watu, japo sijaziona kwenye market kwa mda sasa lkn sio vema kudisclose hapa.Nashukuru mkuu. Uko tayari angalau kunipa trial version halafu tuongee biashara?
Tatizo la wabongo ni kuwa na idea ambazo baadae hawajui wanafanyia nini na wataanzia wapi, alafu kibaya zaidi ukikutana na mwenye idea ambaye hata kuandika hakuandika.Habari Wakuu. Naomba niuweke huu Uzi hapa kwa sababu nyuzi nyingi za mrengo wa teknolojia nikiziweka kwenye jukwaa husika hazipati views za kutosha.
Naomba programmers/developers wa Blockchain na decentralized finance (DeFi) wanisaidie katika hili. Huenda likawa pia na manufaa kwao. Ila kabla sijaendelea niweke wazi kwamba Mimi si programmer japo nilianza kujifunza Python lakini muda unanibana sijafika mbali. Ila kama enthusiast wa Blockchain na crypto nipo tangu 2013.
Now the issue:
Najua kwa programmers wengi wa Blockchain watakuwa na uelewa mzuri wa hili wimbi la DeFi. Kwa miaka takriban miwili Sasa imekuwa ni hot cake. Kwenye DeFi Kuna kipengelele cha Flash Loans. Hizi ni non collateralized loans.
Unakopa kiasi chochote bila dhamana na kukifanyia unachotaka na kukirudisha papo hapo. Process nzima inakuwa kwenye transaction moja. Kukopa, kutengeneza faida kutumia mkopo na kurudisha mkopo na riba vyote ndani ya transaction moja na ndani ya dakika chache kama siyo dakika moja. Muamala wote unasimamiwa na smart contract.
Nimejaribu flash loans ila kwa sababu karibu zote zipo kwenye blockchain ya Ethereum gass fees ziko juu mno na kama arbitrage umeichelewa basi ni hasara.
Ila Sasa kwa sababu Kuna protocols nyingine zinazoendesha flash loans kwenye blockchains kama Polygon, Digibyte,Cardano na zingine ambazo gass fees ziko chini. Naomba kama Kuna wajuzi wa kutengeneza smart contracts za flash loans pamoja na arbitrage bots tusaidiane hapa.
Shukrani za dhati
Nili note hilo ila nlipoona neno 'Enthuasist' nkajua inawezekana alikua ni wale wasomaji tu ila sio investor.Upo kwenye industry kabla hata ya release ya ethereum halafu leo unakimbia gas fees woow!!
Vitalik anaandika whitepaper wewe tayari uko kwenye game
Charles hoskinson anaamua kubwaga na kuanzisha cardano upo kwenye game
Doge inaanzishwa uko kwenye game
Nfts web3 tayari ushakua pro
Halafu leo unaogopa gas fees be serious bro
Ungejitahidi kuwa mkweli ungesaidika
2013 btc ili range btn 20$ to 1000$
Wakuu huyu jamaa hayuko serious atawapotezea mda
Naomba kama Kuna wajuzi wa kutengeneza smart contracts za flash loans pamoja na arbitrage bots tusaidiane hapa.