Programmers naombeni msaada wenu hapa.

Joined
Aug 6, 2014
Posts
39
Reaction score
3
Guyz anaombeni mnisaidie mm nipo interested sana nakujifunza Programming and ninandoto kubwa sana ya kujakuwa Programmer in future ningependa sana kuja kuiishi hyo ndoto yangu Ila kwasasa ninashida Moja tuu cjui nianzie wapi ili niwezekufanikisha malengo yangu cjui nianzekusoma nn or vitabugani as a beginner ili niwezekufikia malengo yangu, kama ww ni programmer plz namba unipe muongozo ili niweze kuanza safari ya kufikia ndoto yangu hii Tafadhali sana.
 



Watafute campaign managers wa chadema, lowassa na ukawa watakusaidia vizuri kama wanavyoweza kufanya programs zao za kuwadhululisha watanzania kwa maandamano.
 

Anza na kusoma html from this site w3schools.com
 
Cha kwanza inatakiwa ujue unataka kuwa programmer wa nini? Mf kuna programmer wa website app, programmer wa mambo ya network, n.k ila kuna basic kwa wengi huanza kujifunza c language alafu baada ya hapo kila mtu anakimbilia kwake kulingana na mapenzi ya mtu na si soko, maana programmer wengi huwa hawafanti kwa kupata pesa ila kwa mapenzi na mwisho ndo hutokea kitu kama biashara bila kutarajia
 

Fuata mtiririko huu,
shell scripting -> c -> c++ -> java ->java script -> php -> html -> xml ->css->sql ->optional(python,ruby
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…