Programme alert:16th-october-2010

hahaaa mpwaz nimenusa kitu hapa
wapwaz n binamuz orijoz......wapi Kaizer muzee ya red kapeti??

Naomba niwe kaimu wa JS mimi nayeye tutafanya kazi vizuri sana (historia inaonesha)

Yaani umebaki wewe tu B kuniletea habari hizi! ndo maana wewe wa ukweli ukweli kabisa! mwah
 
mpwaz tutaambia watu tunachangisha kwa ajili ya tukio la kusafikika au kufikirika au neiza of ze abovu??

anyway tutaangalia how to go about it lakini event lazima iwepo na michango itoke!!

btw: hii likizo ya JF imekusaidia sana, siku hizi kuunga dotiz sio inshu tena kwako!!

HEHEHEH!
SIO INSHU KABISA

INSHU NI UBWABWA NA KAMBALE!.....

naifufua thread kwa update nr one

N huyu si alikuwaga slow learner eeh...
 
Yaani umebaki wewe tu B kuniletea habari hizi! ndo maana wewe wa ukweli ukweli kabisa! mwah

sweetheart B!!! ni wewe??

I missed you, yaani hamu ikaongezeka mpaka basi.......niliogopa grafu itaanza kushuka sasa!!
 
kaizer bana bora usirudi mjini baki huko huko sumbawanga
 
Am trying to connect them dots but nothing come up!! he he he ngoja nikazimue may be I will get something useful in this thread!
 
Am trying to connect them dots but nothing come up!! he he he ngoja nikazimue may be I will get something useful in this thread!
hehehehe!
muda utazungumza mpwa!.......

we subiri tu.
 
sweetheart B!!! ni wewe??

I missed you, yaani hamu ikaongezeka mpaka basi.......niliogopa grafu itaanza kushuka sasa!!

Its me and only me B..worry not..actually niko fiti sana! I missed u too B and u know that eeh? namtafuta Pako, naona anajifanya Apollo tu,,,,,,
 
Its me and only me B..worry not..actually niko fiti sana! I missed u too B and u know that eeh? namtafuta Pako, naona anajifanya Apollo tu,,,,,,

Hili pia nililitegema mpwaz......:D:D
 
16/10/2010 looh it will be my birthday date....kweli patachimbika! jamani nataraji kupata cake kutoka kwa wana JFs.....
 
Back
Top Bottom