๐—ฃ๐—ฟ๐—ผ๐—ด๐—ฟ๐—ฎ๐—บ ๐˜‡๐—ฎ ๐—บ๐—ธ๐—ผ๐—ฝ๐—ผ ๐˜‡๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜‡๐—ผ๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—ฝ๐—ถ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ป๐—ด๐—ผ๐—ป๐—ผ ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ฎ๐—ด๐—ต๐—ฎ๐—ถ ๐˜„๐—ฎ๐˜๐˜‚

๐—ฃ๐—ฟ๐—ผ๐—ด๐—ฟ๐—ฎ๐—บ ๐˜‡๐—ฎ ๐—บ๐—ธ๐—ผ๐—ฝ๐—ผ ๐˜‡๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜‡๐—ผ๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—ฝ๐—ถ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ป๐—ด๐—ผ๐—ป๐—ผ ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ฎ๐—ด๐—ต๐—ฎ๐—ถ ๐˜„๐—ฎ๐˜๐˜‚

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,293
Reaction score
2,620
Dunia na maajabu yake [emoji44]

View attachment 2782992

Nchini India watu wengi wameathilika na program ambazo zinatoa mikopo ya pesa kwa kuweza kudhalilishwa kutokana na mikopo waliokopa.

Takribani inafikia wahindi zaidi ya 60 wamejiua baada ya kunyanyaswa na kutishiwa kwa namna moja au nyingine baada ya kuomba mikopo. Ni app ambazo zinapatikana Kwenye soko la play store inatoa mikopo kwa watu kwa namna moja au nyingine.

View attachment 2782993

Ukifanikiwa kupata mkopo unapewa hapo hapo mkopo yani hakuna kusubiria siku mbili au moja ila shida yake inaanza unasumbuliwa Kwenye kurudisha maana mkopo wao ni zaidi ya "kausha Damu[emoji2]!".

Kwani ukifanikiwa kuinstall app Kwenye simu Yako basi inachukua picha zako kwa namna tofauti tofauti na kuanza kuzisambaza mtandaoni wakati mwingine wanakuweka mpaka kwenye kurasa za ngono nk.

View attachment 2782995

Picha zako zinasambazwq mitandaoni jambo linalopelekea wahindi wengi kupatwa na msongo wa mawazo na kufikia hatua ya kujiua kwani unaweza pigiwa simu kwa siku zaidib ya 100 kutaka urudishe pesa.

Wakati mwingine wanawapigia ndugu, jamaa na marafiki zako na kuwasumbua, watu wengi walioathilikq ni wahindi, waafrika , watu wa Asia nk.

mikopo%20%E2%80%93%203.jpg


Mjihadhari na program za mikopo kwani Zingine zinachukua taarifa zako na kuzisambaza mtandaoni.
 
Back
Top Bottom