Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,229
- 44,240
Mkuu shukrani kwa ushirikiano wako, ila nilikuwa na swali jingine
eti unaweza kutengeneza website kama hii..inahusu ku covert media online
Online converter - convert video, images, audio and documents for free
unamaanisha mimi au inawezekana?
ndio unaweza kutengeneza website kama hio ila unatakiwa ufahamu hosting yake ni gharama sana sababu inahitaji cpu nzuri kufanya hio conversion, bandwidth ya kutosha na storage pia.
website kama hizo mara nyingi unanunua/unadownload ready made script ya kufanyia hivyo, unazipata nyingi codecanyon, halafu ndio unaihost hio script.
pia unaweza ukaajiri developer akutengenezee hio script ila itakuwa ni gharama sana, unless unataka kitu custom sioni faida yake.