Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 2,194
- 4,805
- Thread starter
- #21
windows 10 mkuumkuu unatumia windows gani? hujanijibu bado
windows 10 mkuumkuu unatumia windows gani? hujanijibu bado
Hujamuelewa soma vzr ufafanuzi wake alioelezea usi kariri kwa jins alivyofafanua inawezekana.Anatupima akili Huyu,video kuwa audio inawezekana lakini audio kuwa video HAKUNA
ingia store search video editor master, idownload halafu tumia hiowindows 10 mkuu
Hapo unamaanisha niingie playstore au Google? maana natumia windows na playstore si kwa android tu?ingia store search video editor master, idownload halafu tumia hio
ku add picha au video utaclick merge, kuadd audio click add music
Mkuu hii ni Window essentials 2012?
Hapo unamaanisha niingie playstore au Google? maana natumia windows na playstore si kwa android tu?
ni movie maker mkuuMkuu hii ni Window essentials 2012?
mkuu nime install lakini naona sehemu ya ku add picha tu, ku add music haikubali, nikibonyeza kwenye add music niki browse file la audio hazionekani( no matching files)store ya windows 10 mkuu, windows kuanzia 8 inakuja na store,
bonyeza alama ya kusearch hapo chini andika store itakuja
angalia hii pichamkuu nime install lakini naona sehemu ya ku add picha tu, ku add music haikubali, nikibonyeza kwenye add music niki browse file la audio hazionekani( no matching files)
nimefanya kama ulivyofanya je kuja ku save hiyo picha yenye audio unabonyeza wapi?angalia hii picha
![]()
eka picha zako halafu save, itasave video bila sauti, then click add music halafu chagua ile video halafu click kialama cha music kama nilivyozungushia rangi nyekundu kwenye hio picha itakuletea sehemu ya kuchagua music
mkuu nimecheki seems ni kweli, sijui wamesahau kueka button ya accept hapo?nimefanya kama ulivyofanya je kuja ku save hiyo picha yenye audio unabonyeza wapi?
maana sioni sehemu ya kubonyeza tofauti na hiyo mishale ya kurudi back
View attachment 481224
hii haiuzwi mkuu?wondershare filmora iko powa sana jaribu kuitafuta
sidhani kama utaweza kupata kwa hio bei, huwa mara nyingi projector zinakuwa ghali kuliko tv/monitor at same specs.Samahani wakuu kwa kuingilia mada , nilikuwa nahitaji projector nzuri yenye 1080p ambayo ina picha nzuri karibu na smart tv za kisasa hasa hzi LCD-LED iwe mpya bajeti yangu ni 650000tsh.
Vegas pro na software karibia zote za video making...jaribu hata movie maker ya windows xpNamaanisha ile una audio file yako kisha kisha una enaweka picha then inakuwa kama video inayoweza kuwa uploaded Youtube
Vegas pro inauzwa mkuu au una jinsi ya ku crack? natumia windows 10 movie maker version ya zamani sinaVegas pro na software karibia zote za video making...jaribu hata movie maker ya windows xp
Amesema anatumia/ameinstall windo 10.mkuu unatumia windows gani? hujanijibu bado
Mkuu shukrani kwa ushirikiano wako, ila nilikuwa na swali jinginesidhani kama utaweza kupata kwa hio bei, huwa mara nyingi projector zinakuwa ghali kuliko tv/monitor at same specs.