assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
hii sio haki kuwadhulumu wansnchi kisa Umeme. kutumia vitisho kutaka kuleta maendeleo haikubaliki, kumbe ndio mana mnaogopa ukuta mngeumbuliwa peupe.
Umeme ni haki ya wananchi huna haja kusema watakaodai fidia hatutawawekea tutaenda sehemu nyingine, huu ni udikteta.
kuna umuhimu wa #Ukuta#
chanzo: itv
Umeme ni haki ya wananchi huna haja kusema watakaodai fidia hatutawawekea tutaenda sehemu nyingine, huu ni udikteta.
kuna umuhimu wa #Ukuta#
chanzo: itv